Majaji Mahakama Kuu,Mahakama ya Rufani,mzinusuru ndoa za mahakimu wa kike

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,975
20,615
Nina taarifa kwamba mabinti hawa wanapomaliza chuo,wanakuwa mitaani,wanajenga fyucha yao na wanapata wenza, lakini wakishaajiriwa idara ya Mahakama,tayari ndoa zao zinapigwa wimbi kuu mfano wa gharika.

Wakubwa wao huwafanya "mapokezi" na starter, kwa ahadi ya kupewa vituo vizuri vya kazi,kupanda cheo,kuwekwa pazuri,

Ni vigumu kujua takwimu za ugonjwa wa Juliana katika idara ya Mahakama kama ilivyokuwa kwa RTD,

Ni vyema CJ aweke code of conduct kati ya ngazi za mahakimu(hasa wa kike),makarani(hasa wa kike),watumishi wa kawaida(hasa wa kike) ili wasiwe victims.wa hawa Majaji, nimetoa angalizo tu, wa kusikia na asikie

Huu moshi unasambaa sana chini kwa chini,sijui huko chini moto ukoje.
 
Aiseee kama ndo hivyo kumbe 'haki' inapatikana kwa Mungu tu. Mahakama zetu zilizochafuka namna hii haziwezi kutenda haki kwa ufasaha kabisa.
 
Nenda Afya,utachoka,ngono kwao siyo shida,nikungonoka tu,sijui hatakama huwa wanatongozwa... askari nao... hakuna wakuwanusuru.... ngoja waliwe.
 
Back
Top Bottom