Majadiliano ya udini hayana tija kwa nchi hii... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majadiliano ya udini hayana tija kwa nchi hii...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by everybody, Mar 26, 2011.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mara kadhaa nimesoma habari kwenye magazeti na huku kwenye great thinkers (Jamii Forum) na kuona kwamba tunaendekeza majadiliano ya udini ambayo yanabomoa zaidi ya kujenga ka nchi ketu ka Tanzania. Jamani embu tuongelee vitu kwa fact. Population ya Tanzania kwa kadiri ya takwimu za 2009 ilikuwa na 62% Wakristo, 35% Waislam and 3% other religions. At the same time 97% ya population ya Zanzibar in Waislam. Sasa kama CHADEMA ni cha wa Kristo tu au kina udini si kingekuwa kimeshinda uchaguzi huku bara mwaka 2010?!!! Mimi nasupport kwa upande wa Wazanzibar kwamba uislam umetawala na hii ni kutokana na historia. Sasa tusitake kulazimisha Tanganyika nayo iwe na dini moja ambayo ndo inatawala. Embu tuacheni siasa ambazo hazina tija kwa nchi yetu. Mbona kuna wabunge waislam na wameshinda ubunge kupitia CHADEMA? Kama tunataka kuijenga Tanzania tuanzie hata huku kwenye JF. Tuache ushabiki ambao unabomoa nchi unless kama tupo kisiasa zaidi hadi huku kwenye JF. Mimi ningeshauri kwamba kwa vile hii JF ina great thinkers tusi support au kuchangia majadiliano ambayo yanazidi kutugawa zaidi. Sitaki kuamini kwamba kuna chama ambacho kipo kwa ajili ya dini fulani tu unless kama chama chenyewe kimedeclare hivyo. Tuvipe vyama vyote usawa and neutrality kwenye mambo ya udini, ukabila na rangi kama tunataka kukuza democracia kwa nchi yetu ya Tanzania.

  Ni mtazamo tu.
   
 2. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mada yako ni nzuri, ila tu wasi wasi wangu ni source ya statistics zako kuhusu idadi ya waumini. Sikubaliani nawe kuwa wakristo ni asilimia 62. Nijuavyo mimi ni kwamba waisilamu ni wengi zaidi ya wakristo kwa idadi. Ifuatayo ni statistics kutoka WORLD FACTBOOK-CIA

  Mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim
   
 3. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Malkiory, statistics nilizotoa ni kutoka Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor (Tanzania) kwa mwaka 2009.
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mhhh reasonable doubts
   
 5. K

  Kivia JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  upo sawa kabisa. Mimi nina zile za sensa ya kwanza baada ya uhuru. Zinakaribiana na hizo.
   
Loading...