Maison club

Bila shaka maison club ndo club ghali nchini Tz na yenye hadhi ya five star yani nyota5. Hii night club ipo masaki mtaa wa sea cliff. Maison huwez ingia kizembe lazma ufanye booking kama guest list before hapo ndo utaruhusiwa ingia ndani.

Kwa upande wa reservation bei zao zinaanza na 220,000- 12,000,000 sio poa. Kwa wale wa kupenda pisi kali hapa kuna kila aina ya pisi mfuko wako tu.

Ukitaka ujue Tanzania watu wanatumia pesa ingia hata siku1 tu uone watu wanavotumia pesa. Sisi wengine tuendelee kuvimba kitambaa cheupe. View attachment 1992297
View attachment 1992299
View attachment 1992300
View attachment 1992301
View attachment 1992302
View attachment 1992303
View attachment 1992304
View attachment 1992305
View attachment 1992306
Level 8 je??
 
9aa459ef-e064-4f93-8d46-63817a61bdbe.jpg

Maison club, kuna watu wanatumia hela nyie. Hapo unapata ist 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom