Pope Francis Chuma
New Member
- Dec 24, 2018
- 2
- 1
Mabwana Kwema mm Ni kijana wa makamo Miaka michache iliyopita baada ya kumaliza shule na kukaa mtaani nikaona fursa moja Ni kujiajili na nilikuwa mtu mwenye Ndoto kubwa Sana ....I mean in the next 20 years or some ningekuwa Ruppet mwingine wa Bongo ....ghafla nikaaply kazi na baada ya kufanya kazi MIAKA Takriban 9 sasa Nimekutwa na Mawazo mgando Sana na nimekuwa well satfied kuna msemo unasema kwamba "Comfortable is an enemy to success " Nahisi ndio kinachonikuta sasa Na Ni kitu kuna nidisiguise sana mda huu hapo mwanzo nilikuwa nafikiri hivi "Kujiajiri Ndio Maisha " lakini sasa hiyo imegeuka na ninaona bila ajira siwezi KUISHI ....aiseeee Natamani Mimi Yule wa zamani Je WADAU mnanishauri nifanyaje? Ili niweze kuwa na mawazo kama zamani kama kuna mwanasaikolojia embu nisaidieni ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app