Uchaguzi 2020 Maisha yanatakiwa yaendelee baada ya uchaguzi, lakini tuambiane tu ukweli!

Kesiman9

Senior Member
Jun 23, 2016
117
160
Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari?

Hakika watawamiss sana na ndipo mtagundua kosa mlilofanya sasa kama tu bunge lilimkosa Lissu likapoa, je likikosa wapinzani wote litakuwaje?

Acheni ushabiki wa kiulimbukeni.

Acha mi nipambane na hali yangu
 
Back
Top Bottom