Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,180
- 85,340
Namalizia Wine yangu nirudi nikalale! Nikakukumbuka hili, nikaona wine yangu isiishe bure.
Eti MATAGA leo ndio wanailalamikia PCCB, POLICE na Mahakama kuwa "hawamtendei haki" Sabaya!
Nikacheka sana sana, hakika kuna nyakati za kulia na kuna nyakati za kuomboleza.
Yaani hawa Walioitwa Wazalendo, wenye Wabunge 99.9%, wenye Viongozi wote kuanzia kwenye shina hadi Taiga, Wenye Police na Green Guard, LEO NDIO WANALIALIA HIVI?
HAKIKA MUNGU anaipenda Tanzania. Tanzania ni zaidi ya CCM