Maisha yanakwenda kasi sana. Kutoka demokrasia ya kujadiliana na kupingana kwa hoja hadi risasi na kubambikiana kesi za kigaidi

Pamoja na hivyo, bado wengine ndio tunaingia kwa miguu miwili ktk kutafuta haki ya uwepo wa Demokrasia na Utawala wa Sheria unaozingatia haki
 
Mimi nimeshauri. Ushauri unaweza kukubaliwa au kukataliwa. Kwangu mimi kumuombea mtu afe sio kitu kizuri. Kwako wewe ni kitu kidogo. Sina la kuongezea.

Amandla...
Rais anaepora haki za watu za kikatiba kimabavu akiombewa kufa ni jambo la kheri sana kwa sababu akifa Taifa zima litapona.
 
Haya sio maneno ya kuzungumza hata kwa masihara. Kumtakia binadamu mwenzako kifo sio kitu chema kabisa. Ukiulizwa ulimuuaje huyo ambae unasema ulimuua utasema nini? Kutofautiana ki msimamo ni sawa lakini huku mnakoenda siko.

Amandla...
Ndugu hao watu mda mwingine ni kuwaonea huruma, hawajitambui, hawajui wanataka nini, tunashindwa tuwaweke kundi la viumbe gani, wanachowaza wao ni kukorofisha watu.
 
Back
Top Bottom