Maisha yanakwenda kasi sana. Juzi tu Polepole alikuwa kidume hapo Lumumba

Polepole anaweza akawa Waziri mkuu kwenye sirikali ya Bishop Gwajima akichukua nchi 2025🐒
 
Nikifikiria jinsi Mzee wa mavieite alivyokuwa na madharau na jinsi alivyokuwa anawapiga mkwara viongozi waandamizi wa CCM lakini leo hii naye anapigwa mkwara na Chongolo nabaki kujisemea tu dunia inazunguka. Vijana ishini na watu wote kwa heshima na adabu, hakuna aijuae kesho yake. Polepole huyu alikuwa na jeuri ya kumkoromea yeyote kasoro JPM tu lakini leo amekuwa mdogo kama piriton.

Mwenye video ya Polepole akiwatambia watanzania kuwa anaendesha Vieite atuwekee please.
Simsikii musiba cyprian pia yule dogo rc wa mara na wastaafu kuwa wampishe naye zamu i.e happy
 
Leo eti na yeye anapinga kupatiwa chanjo ya Corona kama Gwajima!! Ngoja aendelee kujifanya mkaidi! Yaani anapingana na msimamo wa Rais wake!! Angekuwa yule mwingine si angekubai faster tu kuchanjwa!!

Akitolewa kwenye ule ubunge wake wa viti maalum, VII YEITI ataishia tu kuiona ikipita barabarani kama sisi wenzake.

Angekuwa yule mwingine nafikiri huyu angesema achanjwe ya jicho kabisa sio mkono tena
 
Mbowe ananyea debe
Usije ukacheka Haya mambo, kuna siku Baba, Mama au wewe mwenyewe utaingia huko jela

Watu wanaweza weka maiti mlangoni kwako au getini ikaonekana umeua wewe

Kaa kimya mkuu, Jela usicheke

Watu wanaweza tupia nyumbani kwako vitu tena majirani Halafu wanakumaliza kuwa ndio biashara zako za hovyo

ogopa ogopa, Sali sana mkuu

Ombea maisha yako huko ofisi na mtaani
 
Nikikumbuka kile kipindi chake cha "Papo kwa Hapo" alikuwa akipiga simu viongozi walikuwa wakihaha kweli kujibu maswali yake,sasa hivi nafikri akiwa pigia simu wanaiangalia tu. Awamu ya tano ilitufunza mambo mengi sana maana ilikuwa ina watu waliokuwa hawafikirii hata siku moja kama wataondoka madarakani na kibaya zaidi walijisahau kuset alternative zao vizuri.
 
Akinda Albert bashite
 
Leo eti na yeye anapinga kupatiwa chanjo ya Corona kama Gwajima!! Ngoja aendelee kujifanya mkaidi! Yaani anapingana na msimamo wa Rais wake!! Angekuwa yule mwingine si angekubai faster tu kuchanjwa!!

Akitolewa kwenye ule ubunge wake wa viti maalum, VII YEITI ataishia tu kuiona ikipita barabarani kama sisi wenzake.
Huyu mgonjwa alipiga mamilioni mengi sana kwenye ule mradi haramu wa kununua wapinzani uchwara.
 
All.in all alikuwa ana kile kipindi chake cha Tv cha kutatua kero mbali mbali za watu kiukweli alisaidiaa.sanaaa
 
Back
Top Bottom