Maisha Yana maajabu Sana limao Lina pesa kuliko chungwa.

unadhihirisha zaidi ushamba wako..sasa watu kugongewa ni vitu vya kawaidi mjini ila zile mbinu za kujisifia uume ni za kishamba sana
Sasa Kama una kibamia usichukie tulio na madodoki
 
Hiyo bei ni ya wapi mzee? afu wewe si ndio ulimtongoza mtu kishamba humu kwa kujidai una uume mkubwa ?
Wewe chakula unachokula ni kwa mama ntilie wa Rau,ungekuwa uno kwako na familia usingeahangaa Bei ya limao,hata hivyo Bei imepungua ilikua Hadi 1,000/kwa limao moja.
 
Wewe chakula unachokula ni kwa mama ntilie wa Rau,ungekuwa uno kwako na familia usingeahangaa Bei ya limao,hata hivyo Bei imepungua ilikua Hadi 1,000/kwa limao moja.
🤣🤣🤣🤣Rau magengeni
 
Kutokana na hali ya kuchelewa kwa mvua viungo kama nyanya, limau, karoti, hoho, vitunguu, pilipili huenda vikaendelea kuwa bei juu.
 
Usikute uzi hauzungumzii kuhusu limao na chungwa nyie mmekaza vichwa kuhusu limao na chungwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom