Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,029
- 1,254
Music isJust relax, chukua glass ya maji unywe kupoza hasira na umkemee shetani,,, ikibidi ujambe kwa nguvuu....
Relax nniga maisha ndani ya Tanzania ya viwanda ni matam sana kuliko huko unako tamani kwenda wakati hukujui,, changamana na watu, fanya kazi sana, sikiliza mziki, kula sana ushibe ukiwa umechoka utasinzia na kusahau yalo pita.
Kukata tamaa nalo ni kosa kwa mungu broh,, jitahd saana hata kwenda kanisan/msikitini kutubu dhambi hizo ili shetan akuondolee majaribu hayo
Nasema tena, maisha ndan ya tanzania ni matam sana,, ila jikaze sana na ujitahd furaha yako isitegemee kutoka kwa mtu flan, tengeneza fraha we binafs. Pia usiwe mwema sana kuliko kuwa mwema kwako binafsi maana wapo wasio na shukrani