Maisha yamenishinda, vita imenishinda

Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu,

Matatizo yako ni yako binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna kufanikiwa kimaisha, ila ukweli destiny yangu nimeishaijua niliandikiwa kufeli toka nazaliwa, hilo nimejua,

Sioni haja ya kuendelea kuhangaika kwenye dunia hii ambayo imeshanihukumu kwamba mimi nitakuwa mtu wa kufeli maisha yangu yote, siku za kukosa furaha na maumivu zinatosha sasa, mimi moja kati ya wanadamu ambao furaha tumegombana nayo,

Naishia hapa na hii ndio point ambayo sina budi kurudi kwa yule aliyeniumba

Vita umepigana ,Mwendo umeumaliza ,Upumzike kwa Amani.
 
Hii safari ya kuwa positive huwa siyo ndogo

Tujifunze kuhainisha mambo positive kila wakati na kujitafakari kwenye namna ya uchanya na hiyo inakupa nafasi ya kuona furaha ya maisha,hata katika vitu vidogo vidogo.

Mtoa mada Mungu akupiganie na wewe pia uzidi kujipigania.
Kweli dada yangu,, let's stay positive and tuwaambukize wengine
 
Kinachomsumbua huyo jamaa na vijana wengine wengi sio pesa ila hana moyo wa kuvumilia magumu/changamoto za dunia hii. Unafikiri kilimo hakina changamoto? Kama ana mentality ya kujinyonga basi hakuna lenye nafuu hapa duniani hata akipewa milioni 100 na MO Dewji.
Muda mwingine kumbe una ongea mambo ya maana..
 
Huna haja ya kufa mfano Mimi nikiamua nijiue eti Kwa sababu Nina pitia magumu hao viumbe niliowaleta duniani Kwa hiari yangu wataenda wapi? hii Leo nipo nanga zinapaa . Nilete ubinafsi WA kujifikiria Mimi niwaache peke Yao wahangaike, hapana. MUNGU akinichukua sina malalamiko lakini kuwatupa hapana, Uzuri wameshakua tukipata tunashukuru tukikosa kesho IPO. Matatizo ni Kwa binadamu sio miti. VUMILIA.
 
Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu,

Matatizo yako ni yako binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna kufanikiwa kimaisha, ila ukweli destiny yangu nimeishaijua niliandikiwa kufeli toka nazaliwa, hilo nimejua,

Sioni haja ya kuendelea kuhangaika kwenye dunia hii ambayo imeshanihukumu kwamba mimi nitakuwa mtu wa kufeli maisha yangu yote, siku za kukosa furaha na maumivu zinatosha sasa, mimi moja kati ya wanadamu ambao furaha tumegombana nayo,

Naishia hapa na hii ndio point ambayo sina budi kurudi kwa yule aliyeniumba
Changamoto ni sehemu ya maisha, tatizo ni nini? Nipo tayari kukusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu,

Matatizo yako ni yako binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna kufanikiwa kimaisha, ila ukweli destiny yangu nimeishaijua niliandikiwa kufeli toka nazaliwa, hilo nimejua,

Sioni haja ya kuendelea kuhangaika kwenye dunia hii ambayo imeshanihukumu kwamba mimi nitakuwa mtu wa kufeli maisha yangu yote, siku za kukosa furaha na maumivu zinatosha sasa, mimi moja kati ya wanadamu ambao furaha tumegombana nayo,

Naishia hapa na hii ndio point ambayo sina budi kurudi kwa yule aliyeniumba
Una watoto?
 
Pole sana Mkuu nakuombea uondoe hayo mawazo mabaya yanayokuandama daah inasikitisha sana..
 
Usikate tamaa.

Maisha hayana muda, wewe endelea kupambana huwezi jua kitakachokujia mbele yako
 
Ni nyakati ngumu sana mkuu wangu kwa kweli inaumiza na kutesa sana sijui ntatokaje tena nahisi nishakwama
Pole sana mkuu. Lakini ungejaribu kutushirikisha wote hapa, tungejua tunaweza kushauriana vipi na tukafiki muafaka mzuri tu.
 
Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu,

Matatizo yako ni yako binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna kufanikiwa kimaisha, ila ukweli destiny yangu nimeishaijua niliandikiwa kufeli toka nazaliwa, hilo nimejua,

Sioni haja ya kuendelea kuhangaika kwenye dunia hii ambayo imeshanihukumu kwamba mimi nitakuwa mtu wa kufeli maisha yangu yote, siku za kukosa furaha na maumivu zinatosha sasa, mimi moja kati ya wanadamu ambao furaha tumegombana nayo,

Naishia hapa na hii ndio point ambayo sina budi kurudi kwa yule aliyeniumba
Mkuu kwanza pole kwa unayoyapitia lkn ndo ukweli wenyewe wa maisha. Naomba nipigie/nibipu au tuma sms kwa namba 0652494919 naitwa geofrey ngaga. Sina kitu cha kukupa ila napenda nikupe niliyoyapitia mpaka nikafikia uamuzi wa kutaka kujiua na nini kilibadilisha uamuz wangu. Kimsingi ni mtoto mdogo wa darasa la 6 na sina undugu nae wa aina yoyote ile ndo alibadilisha uamuzi wangu sasa yupo form one na mimi ndo namsomesa japo ni shule za kata lkn vyote vinavyousiana na shule ni mimi nimeamua kujitwika huo mzigo na najisikia fahari kumsaidia. Nashukuru ndugu zangu pia wananisupport na wamenionya kwamba ole wangu nimuache. Nipigie mkuu tuongee.
 
Mbona hajibu utu tu mutu, tatizo maisha anayachukulia sirias mnooo acha izo mpinzani, kujiua ni sababu nzuri na njia nzuri sana ya kukwepa mapambano na aibu ila kuna jambo umelisahau.
 
Kaka yetu huwa anatuambia aslimia kubwa ya binadam ni wanafiki, anatuambia tuwe na uvumilivu wa hali ya juu maana vikwazo ni lukuki,
Mpaka leo hii yule bradha analala gengeni lakini kajenga kibanda kwa wazazi yeye kitanda hana,
Uvumilivu ndiyo msingi wa marndeleo
 
Usijiue wewe..

Watu wote usione wanacheka ukadhani wana furaha, msala ule ule tena si ajabu ukisimuliwa yako ukaona madogo...

Kitu kikubwa humu duniani tafuta furaha yako wewe mwenyewe usisubiri kupewa, haipo hiyo

Jipende, jifurahie

NB:

Ila ishu ya kukosa pesa hasa mwanaume ni kipengele yaan ni special task mweeh
Safi kwa kumwambia ukwel ,furaha unajipa mwenyw inabd turidhike sababu kuwa watu wanaomba kufika tulipo yan hata hawajafika
 
Back
Top Bottom