Maisha yamekuwa magumu sana mtaani

mzalendo asiyetaka kuhojiwa wala kukaguliwa, ni mpigaji sana tangu enzi akiwa waziri, tunajua ni vigunu kupambana nae akiwa madarakani lakini akitoka tu cha moto atakiona, tutataifisha hadi nyumba zake binafsi na mahoteli anayojijengea huko chato na mwanza. pia wapambe wake wanaomsaidia kufanya ufedhuli watatafuta nchi ya kukinbilia, tutasafisha nyumba kwa DDT.
 
sijawahi kusikia kuna watu wamekufa kwa ugumu wa maisha, maisha ya tanzania ndio yako hivi siku zote, tena siku hizi kufanya biashara kumerahisishwa sana , ukiwa hata na elfu tano ukapanga mafungu yako ya nyanya barabaran hakuna atakaekubugudhi, ni uvivu wako tu
 
mnaokula kwa wazazi mna kazi sana.......nenda kapange hizo nyanya uone kama hujarud nyumban hata hela mfukoni huna watu wanashindia mhogo mmoja asaiv
 
Back
Top Bottom