Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Achana na biashara ya Pub utakuja kuokota makopo kwa uchizi ,fungua mgahawa wa chakula,vinywaji(maji+soda) ,walevi nao hawana hela siku hizi.
Mkuu kwa biashara uliyo itaja (mgahawa) nikiwa na Milioni 2 kama mtaji, naweza ifanya?
 
Back
Top Bottom