Maisha yamekuwa magumu sana awamu hii

Watu hawana hela hizo nyanya utamuuzia nani? Hela haipo kwenye mzunguko mimi nafanya biashara ya samaki sokoni pagumu raia hawana kitu utamuizia nani? kama watu wa pharmacy wanalalamika hakuna wateja that's means watanzania wanaugua lkn wanajikaza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaa...aisee mwenyezi mungu aingilie katituuu maana sio kwa adhabu hizi
 
Siamini kuwa wanaolalamika kuwa maisha ni magumu wote walikuwa mafisadi.

Hembu tulete ushuhuda kama wewe
- Mfanyakazi
- Mkulima
- Muuza hoteli
- Muuza nguo
- Muuza genge Nk.

Tunaomba viongozi waweze kuchukua hatua hali mtaani ni worse.

Ushuhuda:
Nina kakibanda ulipaji wa kodi ni tabu mno kila siku wapangaji wanadai hawapati hela hivyo niwavumilie.
" NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO "
 
Mkuu kuna projects nyingi sana zimesimama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna ongezeko la information na kipato kikabaki vile vile lazima kutakuwa na mabadiliko. Let's say mwaka 2015 bei ya kilo ya unga ilikuwa 800/ na 4 yrs hakuna salary incriminate na leo hii kilo ile ile ya unga imekuwa Tshs 1800/, utasemaje hakuna kilichobadilika? Kwa hiyo miaka 4 bidhaa na huduma mbalimbali zimeongezeka bei huku kipato kikabaki vile vile, lazima maisha yawe magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitumie nguvu kumuelewesha mtu mwenye tatizo la ubongo is a yupo hapa hospital ya wagonjwa wa akili Dodoma tunamuuguza. Ni ndg yetu msameheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana narudi hom nikapitia Kkoo, mtaa wa Congo na nin sijui ule kutokea Gerezani. Nikaona kuna fremu inafanyiwa Marekebisho iko tupu!

Maana yake nini, hapo ni mtu biz kaona haitembei kaamua kusepa kufanya mambo mengine. Pia kuna nyumba inauzwa Oysterbay iko karibu kabisa na ofisi za ubalozi wa Zambia, tangu mwezi wa Tisa mwaka jana mpaka leo naliona bango tu panauzwa
 
Maisha ni magumu kinyoko yaani kila nikipiga mishe zinagoma kibaya Zaidi na serikali kupitia NSSF wamenidhulumu pesa zangu
 
hali ni ileile tu hakuna kilichobadirika maana kama mfanya kazi mshahara anapata kama kawaida kinachobadirika hapo labda alikuwa mwizi au mla rushwa hao ndio wengi wanalalamika lakini sisi tuliozoea kula vya kuchinja vya kunyonga hatuviwezi yaani maisha tambarare tu kama kawaida
Ni kweli kabisa. Serikali ilikuwa inaibiwa mnooo!!! Manunuzi hewa particularly stationery, mambo ya constructions especially barabara (fake BoQs), safari hewa za kikazi, seminars za hovyohovyo zisizo na faida yoyote Bali kupiga pesa, mishahara hewa n.k. Sasa vitu hivi kudhibitiwa ndio unamlaumu MTU kweli? Please revisit your upstears
 
Watanzania wengi wana fikra za kimasikini huwezi ukasema maisha mugumu kwenye nchi yenye soko la watu zaidi ya milioni 55 na ardhi ya kilimo ya kutosha tena yenye rutuba na upatikanaji wake ni rahisi. Tatizo watu wengi mnataka mpate pesa bila kujishughulisha. Watu hawataki kubadilika kutokana na wakati. Watu wanatoka Kenya kuja kulima miti ya mbao na parachichi Tanzania sisi tupo tu tunasema maisha magumu. Kwa sasa mnasema nyanya moja shilingi 500, kupanga ni kuchagua wewe uliwekeza kununua iPhone Mimi niliwekeza kwenye kilimo cha nyanya matokeo yake ndiyo hayo, hivyo hutakiwa kulalamikia bei ya nyanya nakusema maisha magumu.
Ni. Kweli kabisa. Kijana anakuwa confirmed kazini jambo LA kwanza akilini ni kukopa gari LA kutembelea!!. Brother huo mshahara utatoshakweli?!!
 
Siamini kuwa wanaolalamika kuwa maisha ni magumu wote walikuwa mafisadi.

Hembu tulete ushuhuda kama wewe
- Mfanyakazi
- Mkulima
- Muuza hoteli
- Muuza nguo
- Muuza genge Nk.

Tunaomba viongozi waweze kuchukua hatua hali mtaani ni worse.

Ushuhuda:
Nina kakibanda ulipaji wa kodi ni tabu mno kila siku wapangaji wanadai hawapati hela hivyo niwavumilie.
Ufisadi ulikuwa katika nyaja zote. Mfano, Muuza hotel anapewa tender ya kusuply vyakula vya vikao vya serikali vya kulipana posho, obvious kuna overpricing, Mshona nguo anapewa tender ya kusuply sare za wafanyakazi, obvious kuna overpricing etc etc. Mambo yote hayo sasa yamedhibitiwa, mambo yanafanywa kwa uwazi through many channels
 
We ng'ombe hapo ufisadi uko wapi sasa
 
SERIOUSLY SAID?
Yeah, Tz watu wa hali ya chini ni wengi so wakiona umefanikiwa hasa hasa kama una kana nafasi serikalini basi wanakuona fisadi na ukiongeza awamu hii wengi wameshuka jumlisha vyeti feki wanaona raisi kafanya powa kwa sababu wamelingana sasa so lazima wamchague tena , ukiongezea point ya elimu bure bila kuangalia faida na hasara zake wao wanachojua hawalipi 20000 ya ada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom