MAISHA YA WaZEE WASTAAFU WA EAC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAISHA YA WaZEE WASTAAFU WA EAC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AMARIDONG, Jan 13, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  HUKU NGELEJA NA WENZAKE WAKISEMA TULIPE DOWANS WAZEE WETU WAKO KWENYE HALI MBAYA

  WAZEE WA EAST AFRICA


  .fullpost{display:inline;}
  [​IMG]


  Mmoja wa wafanyikazi wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki akimnyoa mwenziwe katika maeneo ya makao makuu ya reli Dar es salaam. Wazee hawa wamekigeuza kituo hicho kuwa kijiwe (maskan/ghetto) chao wanalala hapo hapo na kushinda hapo na wengi hawana hata nauli za kurudi kwao wanashinda njaa na kulalia mahindi ya kuchoma, huku wakisubiri hatma ya malipo yao.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ngeleja hawamuhusu bcs hana undugu nao kabisaaa, yeye anaundugu na DOWANS tuu na hizo pesa hata kwa kula Pumba lazima tuzilipe hv nyinyi mnazani uchaguzi ujao tutafanyeje???? CC ndo CCM bwana!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  wakumlaumu ni Nyerere kwa hawa wazee, kwa nini asiwalipe immediately baada ya kuvunjika EAC?
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  haya kaka Bwana awe nawe jehanamu,maana hali niionavyo watu wenye mawazo yako 2012 watafika wachache sana sasa sijui kama wewe utafika au utakuwa jehanam?
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkku hiyo ndo hali halisi kwani DR Slaa alivyosema kumchagua mkwele ni janga hukuifikilia vizuri kauli hiyo. Kila kitu kipo juuu na hii ndo ccm bwana.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kweli eeh kwa hiyo kama Nyerere na ccm yake ilikosea si ndo watoke sasa.
   
 7. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Well, niliwahi kusikia sehemu eti pesa ambazo wangelipwa jumuia ilipovunjika zilienda katika vita vya kumtoa hayati Field Marshal, Conqueror of the British Empire, Nduli Iddi Amin Dada. Wakati huo huo, Uganda na Kenya wao walifanikiwa kuwalipa watu wao.
   
 8. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du unahali ngumu sana mpaka utoke huko uliko utakuwa taahira
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hata mimi niliwahi kusikia.mi nadhani hawa wazee wana vijana wao,kwa nini wasiwatumie?
   
 10. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wawatumie kufanyaje?wewe hujawaona watoto wa marehemu wakiwa na hawa wazee wamelalal barabarani pale mahakama kuu?wapo wanadai haki za wazee wao lakini serikali haipo tayari iko tayari kulipa DOWANS na sio walalahao wa nchi hii
   
 11. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa wazee kulpwa itakuwa ngumu kwa kutumia Mahaka zetu za kibongo maana sasa cha kufanya ni kwenda kufungua kesi kwenye mahakama za kimataifa maana yaelekea serikali waoga sana kwa maamuzi ya mahakama za kima taifa si umeona kwa Dowans! Unajua kwanini, wanajifanya wao kisiwa cha amani kwa hiyo kwa kshfa yoyote ile lazima warespond positvely ili waonekane ni waungwana wakati si lolote si chochote
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mtakatifu wenu Nyerere ndio wa kutwisha huu msalaba maana yeye ndio aliasisi hili tatizo kwa mapana yake. Maana hata kama vita iliisha yeye mbona alikuwa anaendelea kulipwa mshahara wake kulea watoto wake? ALishindwa vipi walau kuwalipa kwa awamu? Mzee alikuwa mkaidi sana yule na dhulumati.
   
Loading...