Elections 2010 Maisha ya Wabunge walioshinda kwa Uchakachuaji yatakuwaje baada ya Uchaguzi?

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Inasikitisha kuona kuna baadhi ya wabunge wameingia bungeni kwa njia ya Uchakachuaji wa kura. Sasa unaona kama Karagwe, polisi wanamsindikiza mpaka nyumbani kwa mtutu. lakini ni kwa hakika hawataweza kumlinda kila siku kila saa. watafanya hivyo kwa muda mfupi kisha wataacha. Angalia jimbo la egerea, inasemekana hata Mahanga halali nyumbani kwake tena. Maana anaona aibu hata kukutana na wenyeji na majirani zake pale Segerea.

Lakini tukumbuke kuwa anaishi katika jamii iliyomkataa, akalazimisha kwa msaada wa NEC na CCM. sasa wananchi wakiamua kumwadhibu vikali kama yule jamaa wa North Mara (aliyechinjwa) watasaidiwa na nani?

Tafakari
 
Mambo watakayoyafanya ni kama ifuatavyo:
1. Hawatawatembelea wananchi bali wanachama wa CCM peke yao.
2. kama watawatembelea wananchi watakuwa wakisindikizwa na msafara wa polisi.
3. Hawataonekana hovyo hovyo katika maeneo ya wazi kwani wananchi wanaweza kulipiza kisasi kwa kuwadhuri au kuwazomea.
 
Back
Top Bottom