Hako sio kabia baba,ni kagongo ndani ya chupa ya bia...
Mbuzi mzee kumbe mambo ya kwetu Kenia unayamanya hadi ushagoo! Kohania atya ithe wa nyama? Sina cha kuongeza. Ila umenishekesha uliposema uchagoo. Nie witi ni Nyeri Githakwa. Ni wega muno mwana witu.
Fresh and natural air also. No pollution. Check wife mgongo wazo kapozi tu anachambua mboga zake. Safi sana.NO STRESS AT ALL!
Hawazi kodi ya baba mwenye nyumba..
Hawazi atapata wapi hela ya unga au mboga (analima mwenyewe)...
Hawazi billi ya umeme (LUKU) au maji...
Hawazi wapi atapata kibarua..., amejiajiri mwenye...
Hawazi kwenda kuweka ustaarabu bar.., analiwazika na kachupa katogwa.....
Hawazi kuwa na mamilioni ya shillingi maana anaridhika na mamia au tu-elfu kadhaa anazopata msimu wa mavuno....
Hawazi......
Kazi kwako unayekufa kwa mawazo na ugumu wa maisha ya mjini uliyojitakia mwenyewe!:majani7:
Umekagundua eeh!, mie hapa lindoni kwangu huwa napiga huto kama tutatu hivi ndo nakuwa na ujasiri wa kupambana na mbu