Maisha ya Ushagoo, Kabia na Togwa ndo mwendo wenyewe, Mama anachambua Mboga

Himawari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
2,430
Points
2,000

Himawari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
2,430 2,000
NO STRESS AT ALL!
Hawazi kodi ya baba mwenye nyumba..
Hawazi atapata wapi hela ya unga au mboga (analima mwenyewe)...
Hawazi billi ya umeme (LUKU) au maji...

Hawazi wapi atapata kibarua..., amejiajiri mwenye...
Hawazi kwenda kuweka ustaarabu bar.., analiwazika na kachupa katogwa.....
Hawazi kuwa na mamilioni ya shillingi maana anaridhika na mamia au tu-elfu kadhaa anazopata msimu wa mavuno.
...
Hawazi......

Kazi kwako unayekufa kwa mawazo na ugumu wa maisha ya mjini uliyojitakia mwenyewe!:majani7:
 
Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Mbuzi mzee kumbe mambo ya kwetu Kenia unayamanya hadi ushagoo! Kohania atya ithe wa nyama? Sina cha kuongeza. Ila umenishekesha uliposema uchagoo. Nie witi ni Nyeri Githakwa. Ni wega muno mwana witu.
 
Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,113
Points
1,250

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,113 1,250
Mbuzi mzee kumbe mambo ya kwetu Kenia unayamanya hadi ushagoo! Kohania atya ithe wa nyama? Sina cha kuongeza. Ila umenishekesha uliposema uchagoo. Nie witi ni Nyeri Githakwa. Ni wega muno mwana witu.
Hata mie nimeshangaa kumbe kuna Mbuzi Mzee ni Mkenya............jiandae leo twende "Mulembe Night" Canivoire" Kiingilio mia tano tu..................leo ni mpaka asubuhi ya J1
 
Last edited by a moderator:

Ubungo

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Messages
1,237
Points
0

Ubungo

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2012
1,237 0
Changamoto za maisha ziko hata huko. Mvua inagoma mazao yanaungua na jua, mafuta ya taa hakuna, maji matatizo, matibabu shida, shule za watoto tabu kwa umbali na michango nk
 
mujusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2010
Messages
237
Points
170

mujusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2010
237 170
NO STRESS AT ALL!
Hawazi kodi ya baba mwenye nyumba..
Hawazi atapata wapi hela ya unga au mboga (analima mwenyewe)...
Hawazi billi ya umeme (LUKU) au maji...

Hawazi wapi atapata kibarua..., amejiajiri mwenye...
Hawazi kwenda kuweka ustaarabu bar.., analiwazika na kachupa katogwa.....
Hawazi kuwa na mamilioni ya shillingi maana anaridhika na mamia au tu-elfu kadhaa anazopata msimu wa mavuno.
...
Hawazi......

Kazi kwako unayekufa kwa mawazo na ugumu wa maisha ya mjini uliyojitakia mwenyewe!:majani7:
Fresh and natural air also. No pollution. Check wife mgongo wazo kapozi tu anachambua mboga zake. Safi sana.
 
Forum statistics

Threads 1,392,752
Members 528,684
Posts 34,117,088
Top