Maisha ya ughaibuni na kusaidia familia nyumbani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha ya ughaibuni na kusaidia familia nyumbani...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpogoro, Jul 15, 2010.

 1. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa muda nimekuwa nasoma posts mbalimbali hapa JF na hasa zinazohusiana na maisha ya watu ughaibuni.Mara nyingi watu wanaopinga watu kuishi ughaibuni na wanaopenda watu kurudi Tanzania wamekuwa wanapenda kutoa hoja kuwa "kuna maana gani ya wewe kuishi ughaibuni kama familia yenu huko nyumbani bado ina maisha ya kawaida tu na pengine ya dhiki"....at least that's one thing I have observed na huwa wazo la namna hilo linajitokeza kwenye michango ya watu wengi.

  Nimekuwa najiuliza maswali kadha wa kadha......hivi fikra kwamba watu wanaoishi majuu ndo wenye jukumu kubwa zaidi la kusaidia nyumbani inatokana na nini?

  Na pengine,hivi ni kweli kuwa kila anayeishi nyumbani hapa Tanzania familia yake ina maisha bora zaidi?Au tuseme ni sawa kumuhukumu mtu juu ya hali ya maisha ya familia yake huko Tanzania kwa kuwa tu anaishi America au Ulaya?

  Au kwa mfano mtu anapomtembelea rafiki yake huko ughaibuni na akakuta ana changamoto mbalimbali za kimaisha,je hii pekee inatosha kumshawishi huyu kijana arudi Tanzania?Ndo kusema wanaoishi Tanzania hawakumbwi na changamoto zozote za kimaisha?

  Naomba tusaidiane katika michango....
   
 2. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,885
  Likes Received: 20,963
  Trophy Points: 280
  here we go again.............
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 15, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  To each his own. You live wherever the hell you wanna live. If living under a rock somewhere makes you happy, then knock yourself out. If you enjoy living here in Tanzania and you are happy, then it's all gravy. If you're happy living overseas, then more power to you. So, in a nutshell, whatever floats your boat is what matters. Mtafupisha maisha yenu kwa kumaindi ya wengine.
   
 4. O

  Ogah JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  habari za ikungulyabashashi aisee....................lol
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,768
  Likes Received: 83,103
  Trophy Points: 280
  Thank you Brasil!...sasa lile jina jipya na avatar ndiyo umeachana navyo mpaka 2014 au tutaviona tena kabla ya kushuka Brasil?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jul 16, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Njema kabisa babu! Ndio nimetoka rehab juzi tu na sasa najiweka sawa kwenda kuchuana na bwana J. Momose Cheyo kule Bariadi Mashariki....kwa hiyo najipanga kikampeni zaidi...

  Vipi sasa endorsement?
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jul 16, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaa...my good friend Bubu, how goes it? All I can say after that heartbreaking, self-destructive, disappointingly nondescript performance against the Netherlands is just get ready for the inevitable Samba domination in 2014. AND You can take it to the bank....(that's just how overly confident I am)
   
 8. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,132
  Likes Received: 23,757
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wana usongo sana na watu wanaoishi ughaibuni, jamani haya yote ni maisha tu uwe unaishi TZ au ughaibuni. Ni utaratibu tu mtu anaamua, na kuishi ughaibuni hakumfanyi mtu abebe jukumu la kusaidia kijiji kizima, huyu mtu ana maisha yake vile vile. Na kwa nini ujiwekee mipaka katika maisha yako, kama huko ughaibuni kunamsaidia mtu kuweka chakula mezani kwa wanaomtegemea inatosha.
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Wakuu Wenzangu Maisha ya Ughaibuni usikie hivyo hivyo mazito sana bora kama una Mtaji wa hapo nyumbani wa kuweza kupata hata kwa siku faida ya shilingi elfu 5 ni bora zaidi kuliko huku Ughaibuni.Kwanza huku Ughaibuni kila kitu lazima ulipe taxpayer (kodi) tofauti na huko nyumbani huku Ughaibuni Serikali inaendelea kwa njia ya Wananchi kulipa taxpayer kodi kila kitu unalipa kodi hata ukienda Toilet lazima ulipe kodi ukiangalia TV nyumbani kwako lazima ulipe kodi. Ukitembea barabarani lazima ulipe kodi ndio maana nchi za hao wenzetu zimendelea vizuri Barabara zao nzuri,wana madaraja mazuri. Wana Hospitali zao nzuri ,wana kila kitu kinachomuhusu Binadamu wa hali yoyote awe Tajiri au masikini. kwa sisi wenye elimu za shule za msingi kwanza kupata kazi inakuwa ngumu na hata ukipata kazi inakuwa umepata kazi ya kumebeba mizigo ukirudi nyumbani unakuwa umechoka sana. Nawashauri Mtu yoyote akitaka kwanza kusafiri kuja huku Ughaibuni angalau kwanza awe amesoma na kupata Diploma ya aina yoyote sio tu umemaliza shule ya msingi au darasa la kumi 12 la elimu ya shule ya Secondary ndio unataka kuja huku utakuwa unapoteza muda wako bure.Kama una msingi wa kufanya biashara bora ufanye kuliko kuja huku ughaibuni kutafuta maisha bora kwa hivi sasa kumeharibika sana huku Ughaibuni nawashauri ndugu zangu msije huku Ughaibuni jamani hali ngumu sana. mimi sasa tangu nitoke huko bongo nipo ughaibuni miaka 20 yapata na sina kitu jamani msije huku huo ndio ushauri wangu mimi asanteni.
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Kwanza kabisa hodi,siku zote huwa nasoma maelezo ya watu,ndio kwanza nimejiunga na ni mara yangu ya kwanza kutoa comment,maisha popote ni magumu,kama yalivyo bongo kuna wenye maisha magumu na kuna wanaoishi maisha ya kifahari. mtu yoyote anaetaka kuja ughaibuni na aje,maisha yakikushinda utageuza,kwani kuna watu wanaoishi ughaibuni na wameridhika na maisha wanasema bongo ni kwa ajili ya kutembea tu.
   
 11. Myahudi Jr II

  Myahudi Jr II JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2016
  Joined: Jan 7, 2016
  Messages: 2,462
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  na ssisi ndo tumeanza
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 19, 2016
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Ebana eeh....this is like over 6 years ago and how dead wrong was I about the world cup in 2014.

  That 7-1 thrashing by Germany still stings to this day.

  Hopefully the Brasil Olympic soccer team will get some type of revenge on Saturday, for what it's worth.
   
Loading...