Fast Forward
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 551
- 704
Siku zote matumizi ya kila siku usipoyadhibiti huwezi kuona pesa hata kama unatumia elfu 5 kwa siku..
Naomba nipe ufafanuzi wa bajeti yako kwa siku halafu na mie nikushushie yangu ya mwezi mzima uone utofauti.
Naomba nipe ufafanuzi wa bajeti yako kwa siku halafu na mie nikushushie yangu ya mwezi mzima uone utofauti.