Maisha ya shule bwana!!!!!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
wanafunzi.jpg Hawa watoto sijui wamechelewa au wanatoroka shule!​
 
Attachments

  • shuleni.jpg
    shuleni.jpg
    60.7 KB · Views: 254
Hujifunza kwa wakubwa. Huneda walimuona mwalimu akichomokea hapo juzi yake tu
 
duh hao wengine naona wanafanya pepa sipati picha jua linavyowapiga na hasa kama wamevaa viatu vya chachacha(utabikoma sa 8)
 
Halafu kingine hapo hakuna kupiga chabo, ukikwama inabidi uwe mpole.
 
Hao ndo Kikwete kasema kufika 2015 wote wawe wanatumia komputer. Ukizingatia hapo darasa tu la kuwaweka ili wafanye paper ni shida, sasa komputer zitawekwa wapi? I am just curious.
 
You never know, inawezekana computer zitakazoletwa zinahitaji direct solar rays as a source of power, hivyo inabidi wanafunzi waanze kuzoea kukaa juani, ikianza mvua tu; likizo. :nono:
 
Nimeipenda hiyo ya vijamaa vinaruka ukuta inanikumbusha nikiwa rika hilo kuparamia kuta za nyumba kwenda kuiba mafyurisi uzunguni wale walioishi maeneo ya mbeya mjini watakuwa wanaelewa hiyo sehemu. Tatizo ilikuwa mbwa eh! bana eeh..
 
H a ha ha!! Safi sana mkuu.
 
Nimeipenda hiyo ya vijamaa vinaruka ukuta inanikumbusha nikiwa rika hilo kuparamia kuta za nyumba kwenda kuiba mafyurisi uzunguni wale walioishi maeneo ya mbeya mjini watakuwa wanaelewa hiyo sehemu. Tatizo ilikuwa mbwa eh! bana eeh..
Ahahahahaaaah maisha ya utotoni enzi zile za shule yana raha zake.
 
Nimeipenda hiyo ya vijamaa vinaruka ukuta inanikumbusha nikiwa rika hilo kuparamia kuta za nyumba kwenda kuiba mafyurisi uzunguni wale walioishi maeneo ya mbeya mjini watakuwa wanaelewa hiyo sehemu. Tatizo ilikuwa mbwa eh! bana eeh..

Hahahahaaa! Sajenti umenikumbusha mbali sana. Ulikuwa unakaa Isanga wewe, maana watoto wa Isanga mlikuwa hamshikiki kwa kuiba mafyurisi na makatapela Uzunguni na kwa Mbwiga! Hizo ndiyo zama zao na wao :smile: !!!
 
Halafu kingine hapo hakuna kupiga chabo, ukikwama inabidi uwe mpole.

chabo inapigwa kama kawa,kwa lugha ya ishara lkn,usione mtu anakuna kidevu ukadhani kinasha mwenzio anauliza swali hapo,ukiona mtu anajifanya kama kutoa nyama kwenye jino usidhani alikula sana nyama anatoa jibu hapo,ukiona mtu anajikuna paji la uso kwa ishara ya kichadema au anajikuna kalio la kushoto au la kulia n.k ujue chabo inaendelea hapo mkulu.
 
duh! we mwalimu nini anti? naona unatupa elimu kubwa sana iliyojificha katika chabo mamboleo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom