Maisha ya Preta Yaeda Chini

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,206
9,508
2968_353135591446550_402690174_n.jpg

Preta akiwa kaanza Maisha Huko Yaeda hapo pichani akiwa na wanawe akiwazoesha maisha ya Bush...

Nikiripoti kutoka Karatu....... mimi Ni Georgeeeeeeeeeee Maratooooooooooo waaaa Aiiiiiiiiiiiiiiiiii Tiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Viiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ama kweli maisha yanabadilika mara moja kwa sisi wanadamu hasa Watanzania!
Pole sana Preta wetu kwani ndivyo maisha yalivyo kwetu Watanzania! Ila tutafika tu ingali tutakuwa tumechoka sana!
 
Hata mimi nimemwona
Maasai%20Village091.jpg

oi hivi ukilala bila kunawa muguu ukiamka asubuhi inakuwaje vile!

Huu Udongo upo tofauti na ule wa njiro ukitembea unanatia kwenye viatu mtu unarefuka ghafla kama umevaa raizoni.... unakung'uta then unaendelea na safari hivyo hivyo hadi ufike safari yako. nakumbuka na ule udongo wa Usa River
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom