Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
...are you the victim of your own success?
are you living your dream or are you living a nighmare?
una usongo wa mawazo unaotokana na majukumu ya kazi, familia, ie---ndugu, jamaa na marafiki?
huna muda wa kufurahia mafanikio yako kielimu, kazi/biashara?... kipato hakikutoshi majukumu ya jamii inayokuzunguka?
...haupo peke yako! ...tena wala haijalishi wewe ni mzaliwa wa kwanza wa kiume au mzaliwa wa kike kwenye familia...
...njia gani muafaka za kuutua mzigo huu wa kuwa tegemeo la familia ili angalau upate kufurahia
mafanikio ya kisomo chako, ndoa, familia na maisha kwa ujumla? ...kwani ni lazima uilee familia na ukoo mzima kwakuwa tu una kazi inayokulipa vizuri?