Maisha ya Nigeria

Ukweli uswahilini kuzuri kwa namna yake ila siku ukikaa sehemu iliyotulia utaona furaha na nafsi na akili kutulia.
Mazingira yakiyotulia yana umuhimu wake sana
Sikupingi.

Uswahilini unasikia mtu anakuambia kala silesi tano za mkate na ameshiba unajiuliza anawezaje. Ila sasa hivi naanza kuelewa inawezekanaje.
 
Kuna Rais alihamasisha watu wa Tanzania tuzaane alisisitiza tufyatuane !!! Mm binafsi nilikuwa simwelewi!!!
 
Ukweli uswahilini kuzuri kwa namna yake ila siku ukikaa sehemu iliyotulia utaona furaha na nafsi na akili kutulia.
Mazingira yakiyotulia yana umuhimu wake sana
Uswahilini ni kuzuri kipindi cha maisha ya utoto mpaka barehe, ila unapoanza kuchuma mali na kuwaza uishi vipi uswahilini hapafai.

Hama fasta ukatulize akili.
 
Back
Top Bottom