Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Walete walete majasusi haoo hawatufai hata kidogooo, wanataka watoto wao, wake zao na mpaka wadada wa ndani ya nyumba zao na wafunguwa mageti yao watawafanya viongozi wa nchi hii siku moja, ili mradi tu wanaandaa mazingira ya kulindana.
90% viongozi wa CCM woteeeeeeee ni WACHAFU, WEZI, MAFISADI, MALAYA, WABAKAJI, WANATEMBEA NJE YA NDOA ZAO WAUME KWA WAKE, HAWATUFAI, kwanza wanatakiwa woteee WAPIGWE RISASI PALE UWANJA WA TAIFA. Angalia wanavyuomdanganya mpaka na Raisi wa nchi leo Bashe siyo mtanzania kesho Bashe ni Mtanzania hovyoooooooooo kabisaa.
Nchi yetu tunapata shida CCM wameibaaaa kila kituuuuuuu.

CHAGUWA RAISI WA TANZANIA CHAGUWA SLAA
 
Dr SLAA kwa nini ameficha uovu wa Mkamba kwa muda wote huu mrefu bila kuwaeleza wananchi ukweli? Nadhani hata akiwa rais wa nchi hii ataficha pia uovu mbalimbali utakaofanywa na viongozi wake wa chini. Hatumtaki kiongozi anayeficha maovu ya watu katika jamii hii..Kwa msingi huo SLAA hafahi kuwa rais[/QUOTE
m
Mwaka huu tutawaona wengi!! We unalipwa kiasi gani naona umeingia kazini! ...
 
Huyu mama sijui anachotafuta ni nini hasa. haya mambo ya siasa mbona yanawenyewe wanayo yaweza? tabu yote hii imetoka wapi? watu hawafanyi kazi za maendeleo kazi kujipanga mitaani kupokea usumbufu. haya mambo ya siasa hapa tanzania inavyoonyesha kila mwenye mdomo anaweza kuyafanya. mama tulia nyumbaniiii kama ipo ipo tu sio lazima mhangaike saaana. watanzania badoooo, hizo kofia tu na mia tano tano mbona mchezo umekwishaaaa. loooooh:A S 114:
 
Wajua hizi siasa sasa kuna baadhi ya viongozi wa Juu wa vyama badala ya kuangalia alama za nyakati wao ni kulopoka na kupoteza mwelekeo wakidhani ndio kumchafua fulani katika siasa wakiziita ndio propaganda zao kumbe ni kukiweka chama chako mahali pabaya na wewe kama wewe binasfi unanjichafua bila kujua.

Nisha sihi viongozi waangalie sana watoapo maneno yao kutoka vinywani mwao wawapo mbele ya jamii na sio kuongea tuuu iliujulikane nawe huwa unajuo longa unaifundisha nini jamii ya sasa iliyo elimika.?

Mpinzani wako akikutupia kombora jipange na ujue jinsi ya kulijibu na usipindishe pindishe mambo na kama unaliona uzito wake sio unapotezea ki diplomasia na wananchi watatafakali wao wenyewe, badala ya kujibu kombora nawe uanatoa kombora usilo lihimili matokeo yake yanakuweka pabaya na position yako katika chama chako na kukishusha hadhi chama chako ina kuwa ni upuuuzi mtupu.

Ni kama leo kwa magazeti yule katibu wa vijana CCM ati anamkanya Shibuda asitake mdahalo na Makamba, jamani ivi wewe katibu una shadadia ushabiki au? CCM kama chama tawala wallah mie hata kama niko CCM na ninajiami ninasimama na Shibuda. kwani si ndio M/Kiti-CCM Taifa wetu anasema viongozi wa CCM ndio wameiva kisiasa kuliko vyama vingine sasa unapo tamka ati hatuwezi kuwa na mdahalo na mtu reject(Shibuda) maaana yake nini? CCM sie ni waoga sikubaliani na hayo maneno aliyo yasema Katibu huyo kabisa hayo ni yake mwenyewe, Juzi hapa Shy-rose alisema viongozi waliko ndani ya chama wachunge maneno yao wayaongeayo kwa jamii chama sio chao ati.

Unajua unapo sema mtu fulani ni reject toa hoja mbadala kumwanika hadharani kuwa ni reject ivi ikatokea huko kwetu maswa akashinda katika hilo jimbo mojawapo utaiweka sura yako wa wewe Katibu?? Nadhani tusiwe tu na ushabiki wa kisiasa kuliko kwenda na Facts laaa sivyo tutakipeleka chama chetu kubaya lazima tujue jinsi ya kujibu hoja au mambo au madongo tupigwayo na kujirekebisha na kuja na hoja za nguvu na sio kurushiana maneneo kama mipasho tuuu na kujishusha hadhi tuu hapa.

Katibu kwa hili nadhani hukustahili hata kuongea kwa vyombo vya habari perio kama hujipanga kuongea na wana habari
 
Hizi kampeni zimeanza kupoteza maana au mnaonaje? Kwasababu kama Dr. Slaa kaowa au hajaowa, kafukuzwa upadri au la, au kama Makamba kafukuzwa ualimu kwa kubaka au vipi...hii itawasaidia nini hawa wapiga kura hohe hahe?
Jamani eeeh, hebu tafanyeni kampeni, hii mipasho tuwachie akina Khadija Kopa na Mzee Yussuf kwenye majukwaa yao, tupeni sera...wagombea, hatuna haja ya kusikia mambo yenu ya ujana yalikuwaje...kila mtu kapitia mambo ya ajabu kwa wakati wake, hakuna ulazima wa kuyafanya kama ajenda za kisiasa.

Ndugu yangu hiyo pia ni sehemu ya kampeni. Kujua maisha ya ujana ya mgombea ni muhimu sana kwani unajua mtu unayemchagua ana hulka gani. Ndugu yangu watanzania leo hawachagui chama wanachagua watu, pamoja na sera nzuri ambazo wanaweza kuzisema je maisha yao ni ya uadilifu?. Kwa mfano ni muhimu kwa Dr Slaa kuweka wazi masuala yake ya Upadri na ndoa, pia ni muhimu sana kwa Prof Lipumba kueleza watanzania ni kwa nini hana mke, na pia ni muhimu sana kwa Dr Kikwete kueleza ni jinsi gani hakushiriki wizi wa EPA kama inavyodaiwa. Sera ndiyo, lakini uadilifu ni muhimu pia.
 
Nenda zako CCMsm huna lolote njaa unayo hadi kwenye kope bado unashabikia CCM mijitu mingine bwana!! empty brain
 
Kama ni UZINZi Slaa naye ni mzinzi na kama kutembea nje ya ndoa Slaa naye anatembea nje ya ndoa. Bora tumchangue Lipumba

Na wewe usikurupuke na kuongelea tuu swala la Uzinzi unajua uzinzi tuuu tizama na matukio halisi ndio utoe hukumu yako kuwa A ni mzinzi na B Mzinzi au both sio wazinzi

 
Huyu Slaa ni mdhaifu sana kibinafsi. Ni hatari kwa mtu kama huyu kumkabidhi hata ukuu wa wilaya. Anafaa kupiga kelele bungeni tu.

Bora ya huyo dhaifu kwako mwenye wawili tunao wajua je huyo boss wako je? Unajua ana wangapi?
 
hapo zikianza hizo itakula kwa wote tu ...............hakuna mwanasiasa anaefuata maadili Tanzania.

mbowe? slaa? kikwete? makamba? kinana? zitto? masha?
 
Kumtishia Makamba haiwezi kuhalisha vitendo vyake vya uzinzi. Yeye anatakiwa jibu hoja ya uzinzi na kutelekeza famila. Je na yeye tukimuuliza kwanini alifukuzwa upadre atakuwa na jibu?! Anasingizia kwamba alikubaliana na kanisa kuacha; si kweli. Tuna lundo la data zake hapa na ufilauni wake mkubwa aliotenda huko

Nyumba ndogo za vigogo: by Gaijin said:
hapo zikianza hizo itakula kwa wote tu ...............hakuna mwanasiasa anaefuata maadili Tanzania.

mbowe? slaa? kikwete? makamba? kinana? zitto? masha?​


OOOOOOHHHHH LORD OF IBRAHIM, ISSAC & JACOB,

Hebu tupe na wewe hizo data naona mwarushiana mpira hapa kati a wana Makamba na wana Slaaa teh teh !!!!!

I LOVE THIS GAME !!!!!

 
Mkuu Jethro,
CCM hawatathubutu tena kuruhusu wagombea kupitia chama chao kuingizwa kwenye mdahalo.Hilo limebainishwa na tukio la mgombea wa ubungo kushindwa kujibu swali aliloulizwa na mkazi wa ubungo,aliyetaka kujua ukweli wa uzwaji wa jengo la UWT alipokuwa mwenyekiti wa jumuia hiyo wilaya ya Kinondoni.Kipindi hicho kilirushwa na TBC1 Jumamosi ya wiki iliyopita.
 
Sakata hili lote nafikiri limesababishwa na Makamba mwenyewe CCM wanahubiri kampeni za kistaarabu lakini wanakwenda kinyume na maneno yao they don't walk the talk.

Mnakumbuka baada ya Chadema kufungua kampeni zake jangwani kesho yake Kinana akaitisha press conference akawatuhumu Chadema wanafanya kampeni za matusi ingawa matusi menyewe hayakutajwa. Akiwa Morogoro Slaa akamjibu Kinana kuwa asiwalaumu viongozi wa chadema watamuita mwizi kwa jina lake.

Makamba hakuridhika akaitisha press ya kwake Lumumba akawaita viongozi wote wakuu wa Chadema ni mbumbumbu na akenda personal zaidi kwa kuelezea upadri na ndoa ya Slaa kitu ambacho si cha kiungwana, wakati huo huo akiadai Chadema haina ustaarabu na wanataka watu tuamini hivyo.

Chadema wakaona wanafanywa wajinga ni sawa na wakati wa kula kuambiwa usichukue minofu kwanza hadi baadaye wakati mwenzako CCM anajichukulia minofu tena mikubwa. Ndiyo matokeo ya Slaa kuwajibu hivyo jana, kwa msingi huo wakulaumiwa ni Makamba.

Hata kama ni plan ya CCM kumtoa Slaa kwenye line lakini madhara makubwa yatakuwa kwa Makamba na CCM yake kwa vile Slaa wakati anazunguza hayo hakurudi Dar na kuitisha press anaendelea na mikutano na ratiba yake kama kawaida.
 
Lakini hawafahamu SERA za CHADEMA, kwani vinavyoandikwa kwenye magazeti ni hizo kashifa tu hakuna sera, CCM wako smart sana. Dr. Slaa baada ya kujibishana na Kikwete yeye anapoteza muda kujibishana na Makamba na Kinana. Hiyo kazi ingefanywa na akina Mbowe, Mnyika na Prof Baregu yeye aelekeze nguvu zake kwa Kikwete na kunadi sera.

Magazeti yakiaandika habari za mgombea urais wa CUF, wanaandika CUF wameahidi kufanya 1, 2 .. (yanii sera)
Na yakiaandika habari za mgombea wa urais wa CCM , wanaandika Kikwete ahidi Meli mpya n.k (yaani sera)
Lakini wakiandika za mgombea urais wa CHADEMA wanaandika "DK Slaa amvaa mke wa kikwete",
"Slaa amsifu mchumba, amuonya Makamba"
n.k (yaani mashambulizi binafsi), je mnaona huu ni mwenendo mzuri?

Bila shaka unareffer Habari Leo, Gazeti linaloendeshwa kwa kodi zetu lakini kwa makusudi limejivika ukada wa kukampenia CCM na ikiandika habari zenye mtizamo hasi kwa CHADEMA. Mauzo yameshuka hayo, tafuta gazeti la Mwananchi utajua ni mangapi ambayo mwandishi wa habari leo hakuyaskia japo alikuwa pale mbele kabisa. Slaa aliongelea kuanzishwa kwa House Authority, mbona hili hawakuliongelea??
Wapiga kura wa siku hizi wanachagua mtu,wanaochagua sera ni wasomi wachace sana. Unajua ingekuwa ni damage ya kiasi gani kama Slaa asingerespond??? Kwenye kampeni/Politics hii ni kawaida kabisa. Mwenzako akikuanza unammalizia baada ya hapo sera kama kawaida.
 
Ndugu zetu mlioko Mwandiga, Kigoma na mliosoma Shule ya msingi Mwandiga miaka ya "1960" naomba mtupe habari kamili. Manake TAMWA na pressure groups nyingine zitapata namna ya kulishughulikia tatizo hilo. Mama Nine lete habari please!

Halafu sijui ni kwanini Mzee wetu alipokelewa jeshini baada ya kasheshe hilo la Mwandiga.

HAKI HUINUA TAIFA.
 
Hizi kampeni zimeanza kupoteza maana au mnaonaje? Kwasababu kama Dr. Slaa kaowa au hajaowa, kafukuzwa upadri au la, au kama Makamba kafukuzwa ualimu kwa kubaka au vipi...hii itawasaidia nini hawa wapiga kura hohe hahe?
Jamani eeeh, hebu tafanyeni kampeni, hii mipasho tuwachie akina Khadija Kopa na Mzee Yussuf kwenye majukwaa yao, tupeni sera...wagombea, hatuna haja ya kusikia mambo yenu ya ujana yalikuwaje...kila mtu kapitia mambo ya ajabu kwa wakati wake, hakuna ulazima wa kuyafanya kama ajenda za kisiasa.

Uko sahihi Mkuu, lakini sometimes hiyo inaweza kusaidia kuwafanya CCM washike adabu maana hiyo ya Makamba ni kama utani tu maana ukirudi kwa Msekwa, JK etc utaona sasa wataingia pabaya. Pale Jangwani Marando hakutukana alizungumzia ufisadi wa EPA na CCM wakaanza kufanya propaganda kuwa Chadema walitumtukana JK na viongozi wa CCM na hivyo wakajipanga kuanza kujibu mapigo na wao "kutukana" wakanza na kudai kwamba Slaa alifanya ufisadi kanisani, hoja ambazo zimedumu miaka kadhaa sasa lakini hazijawahi kufikishwa mahakaman wala mahali popote hata Wakatoliki wenyewe hawajawahi kuizungumzia kama EPA ilivyofikishwa mahakamani. Sasa CCM walihamisha hoja kutoka ufisadi wakaanza kuzungumzia ndoa na maisha binafsi ya Slaa. Chadema wametonesha maisha binafsi ya Makamba kwa kuwa yeye ndiye aliyetoka hadharani kuzungumzia ndoa ya Slaa sasa mwingine akiibuka naye ataambiwa maisha yake binafsi na kama ulivyosema, hakuna binadamu aliye mkamilifu na ndoa nyingi zina matatizo na misukosuko mingi na ukirudi nyuma wengi wamepitia maisha ya misukosuko na hivyo kama maisha hayo hayaathiri majukumu ya kisiasa ya sasa hayana nafasi. Nasema KAMA HAYAATHIRI maana isije tokea maisha binafsi ya ndoa yakaathiri kampeni, mfano akatokea kimada wa mgombea akapanda jukwaani na kurusha makonde kwa mke wa mgombea ama mke wa mgombea akaamua kuingia mtaani na kupora mali za watu akisema, "mimi ndio first lady.... ama first lady mtarajiwa" hapo hakuna privacy tena.
 
Kumtishia Makamba haiwezi kuhalisha vitendo vyake vya uzinzi. Yeye anatakiwa jibu hoja ya uzinzi na kutelekeza famila. Je na yeye tukimuuliza kwanini alifukuzwa upadre atakuwa na jibu?! Anasingizia kwamba alikubaliana na kanisa kuacha; si kweli. Tuna lundo la data zake hapa na ufilauni wake mkubwa aliotenda huko
Kama una data toa hapa JF otherwise utakuwa huna data unaandika ili kupamba mjadala
 
Dr SLAA kwa nini ameficha uovu wa Mkamba kwa muda wote huu mrefu bila kuwaeleza wananchi ukweli? Nadhani hata akiwa rais wa nchi hii ataficha pia uovu mbalimbali utakaofanywa na viongozi wake wa chini. Hatumtaki kiongozi anayeficha maovu ya watu katika jamii hii..Kwa msingi huo SLAA hafahi kuwa rais

Wewe bobishimkali - hivi umeishia darasa la ngapi vile?
 
Ahaaaaa labda Makamba alimwambia Mkwere kuwa wanafunzi wanaviherehere na kuwa kubakwa kwao au kupewa mimba ni kutokana na hivyo so mkwere akachukua bila kuchanganya na za kwake akaropoka .

Haya katibu mkuu wa CCM BAKAJI ,ROPOKAJI DUH KWELI MDOMO ULIPONZA KICHWA.

Kwenye red hapo nimepapenda sana ni vyema angechanganya na za kwake yaani ningekuwa na uwezo wa kununua kesi hii ya makamba nisingemwacha hata kwa bahati mbaya ..kumbe nishampatia jina jipya sasa MAKAMBA MBAKAJI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom