Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

Angekaa kwenye uchumba kwa mda mrefu angetambua tabia za mwanamke. Yameshatokea! Aaachane nae haraka! Hata kama ni ndio ya kikristu asiangalie makunyanzi, tafuta mwanamke anayeendana na sera zako.
 
Nione Kuna baya gani litakalo nitokea.. Maana naskiaga wanaume tunaambiwa hatuwezi kuishi bila kuoa.. but I don't see any reason to do so plus I respect women so much kiasi Kwamba I am not ready to waste my energy and other resources just to make her happy... Si unaona yaliyo mkuta jembe hapo.. Hakuna ndoa hapa Tena tunapoelekea hata mahusiano nahisi nitasitisha pia..
we kiboko walah
 
Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto.

Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo msingi na mimi nipo sekondari.Yeye ana miaka 10 kazini (2010-2020) na mimi nina miaka 5 kazini (2015-2020)

Turudi nyuma kidogo,Kabla sijafahamiana na mke wangu nilikuwa na maisha yangu tu ya kawaida..ambapo kwa mshahara wangu nilikuwa namudu maisha yangu, nilikuwa nimepanga.

Mwaka 2016 niliweza kukutana na mwenzangu,tulifahamiana na hatimaye tukaanzisha mahusiano.Tuliweza kudumu kwa takribani mwaka mmoja. Mwaka 2017 tulifikia maamuzi ya kufunga pingu za maisha (NDOA).

Niligharamia harusi kwa asilimia 80,ni kipindi ambacho ilinilazimu kuingia kwenye mikopo mirefu,Maana yeye pia nilimkuta ana mkopo. Nilichukua mkopo wa muda wa miaka 7, kiasi cha pesa kiliweza kutumika kwa ajili ya send off na kiasi kingine kwa ajili ya harusi na pia kiasi kingine cha pesa niliweza kuanzisha biashara kadhaa ambazo pia hazikufanya vizuri maana niliishia kupata hasara.Nilikuwa napata take home ambayo kiukweli ilikuwa haitoshelezi mahitaji muhimu.

Mke wangu nilimkuta anaishi nyumba za serikali (KOTA) ambapo ni chumba na sebule.Ameishi hapo tangu alipo ajiriwa mnamo mwaka 2010.

Baada ya harusi mke wangu alinishawishi nihame nilipo kuwa naishi ili niende anapo ishi yeye (KOTA) ili niweze kusave pia gharama za kupanga. Nilikataa sana kufanya hivo lakini aliweza kulazimisha.

Nilikubaliana na uamuzi wa mke wangu,niliweza kuhamia anapo ishi yeye na hatimaye tuliunganisha vitu vyetu,sebule ikaenea vitu kiasi kwamba vingine vilikosa sehemu ya kukaa.Shule anayo fundisha mke wangu na ninapo fundisha mimi ni jirani saana (Takribani mita 100)

Tatizo linaanzia hapa wakuu,ndoa yetu ilikuwa ya furaha saana kwa kipindi cha mwaka mmoja tu.Kuanzia mwaka 2019 mwishoni mke wangu alionyesha mabadiliko makubwa saana.Alianza dharau,majivuno na kashfa..Akiwa anasema kuwa mimi naishi kwake hivyo natakiwa niondoke.

Wakuu ni maumivu makubwa mnoo,ilifikia hatua akawa hataki hata kupika wala kufua nguo zangu na anarudi nyakati anazo zijua yeye mimi nikiwa nimelala.

Ukimuuliza ni ugomvi mwanzo mwisho,ni maisha magumu sana ambayo ninapitia.Mwaka huu mwezi wa tatu bodi ya mikopo ikawa imeanza kunikata pesa yao,maana nilikuwa nimesahaulika kwa kipindi kirefu.Hivyo maumivu yakawa mara dufu,maana kwa sasa pesa inayo ingia ni 140,000/=

Baada ya kumjulisha mke wangu juu ya hilo,akazidi kunidharau na ugomvi ukawa mzito.Msimamo wake ukiwa ni ule ule kuwa nichukue vitu vyangu nimuache.Amesahau kuwa mkopo wangu pia uligharamia harusi pamoja na send off.

Nipo njia panda wakuu,najaribu kuwaza naenda kuanza vipi maisha kwa huu mshahara wangu? Nitalipia vipi kodi na hasa nikiangalia mkopo wangu ndo kwanza nimekatwa miaka miwili bado kama miaka mitano,je ntatoboa?

Saivi hali ni mbaya Zaidi,maana amenifukuza chumbani..hivyo ninalala sebuleni kwa takribani miezi mitano sasa. Ndugu,wasimamizi wa ndoa pamoja na paroko wamejaribu kutusuluhisha lakini mwenzangu ameshikilia msimamo ule ule kuwa niondoke.

Niko frustrated mnoo, kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu yangu ya kazi vile ipasavyo.

Baadhi ya ndugu wamenishauri niondoke nikaanze maisha,ukizingatia hatuna mtoto wala mali zozote tulizo chuma pamoja,isipo kuwa tuna kiwanja pekee. lakini kila nikitafakari naona sitoweza kusimama kwa huu mshahara wangu mdogo hasa kumudu gharama za maisha.

Naombeni ushauri wenu wadau,nifanye nini katika hii hali ninayo pitia? Maana kiukweli hatuna future yoyote na ninahisi nitakufa kabla ya siku zangu.Nimejaribu kuandika kwa kifupi,lakini mambo ninayo pitia ni mengi mnoo.

HAYA NI MAISHA HALISI ANAYO PITIA NDUGU YANGU WA KARIBU SANA.WANAFAMILIA HATUJUI TUNAMSAIDIA VIPI MAANA HATAKI KABISA KUONDOKA KWA HUYO MWANAMKE MBALI NA MAUMIVU NA MATESO ANAYO PITIA.KUNA MUDA TUNAWAZA ,JE AMELOGWA NA HUYO MWANAMKE? TUMEMSHAURI IMESHINDIKANA.NINI KIFANYIKE?
Dah! Unakopa mkopo kwaajili ya harusi hahahaa!
Anyway inamaana nyinyi ndg mmeshindwa kumnusuru ndg yenu kwa kumchangia hata laki tatu mkamtafutia chumba single cha elfu 40 mumlipie kodi kwa miezi 6 kwanza halafu huko mbeleni yeye atakuwa analipa miezi miwili au mmoja moja?
 
Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia "Kijana wangu ukianza kuona mwanamke anakusumbua Sana wakati bado ukiwa Kijana na una nguvu zote, tambua kabisa huko mbele ya safari ni kivumbi, upo wakati upendo wa mwanzo utakufa utabaki urafiki uliopo Kati yenu. Kama kipindi Cha mapenzi ya mwanzo ni kaa la Moto, jitoe mapema"

Mshaurini ndugu yako kwamba kuanza upya sio ujinga, Wala usiogope kuanza upya eti kwa sababu mshahara ni mdogo, wapo ambao hawana hata uhakika wa elfu 10 mwisho wa mwezi na maisha yanaenda tuu. Pia asijifariji kuwa huyo mwanamke atabadili tabia kwa ushauri wa watu. Asimlazimishe kuishi nae Kama mwanamke Hana hisia tena za kuishi nae. Marriage is too natural. Asimlazimishe yanaweza kumpata makuu.
Ahsante.
 
Ushauri kwa wanaume wenzangu, tuachane na hii ujinga ya kuhama kwako na kwenda kuishi kwa mwanamke kwa kigezo kwamba mna-save. The moment you step out of your own home/getto it is the same moment you loose your power of command to your woman.

Tusiingie mikopo isiyo ya lazima kwa ajili ya shughuli zisizo za lazima. Ndio, sherehe sio lazima Bali maisha ya ndio ndio ya muhimu.
 
Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto.

Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo msingi na mimi nipo sekondari.Yeye ana miaka 10 kazini (2010-2020) na mimi nina miaka 5 kazini (2015-2020)

Turudi nyuma kidogo,Kabla sijafahamiana na mke wangu nilikuwa na maisha yangu tu ya kawaida..ambapo kwa mshahara wangu nilikuwa namudu maisha yangu, nilikuwa nimepanga.

Mwaka 2016 niliweza kukutana na mwenzangu,tulifahamiana na hatimaye tukaanzisha mahusiano.Tuliweza kudumu kwa takribani mwaka mmoja. Mwaka 2017 tulifikia maamuzi ya kufunga pingu za maisha (NDOA).

Niligharamia harusi kwa asilimia 80,ni kipindi ambacho ilinilazimu kuingia kwenye mikopo mirefu,Maana yeye pia nilimkuta ana mkopo. Nilichukua mkopo wa muda wa miaka 7, kiasi cha pesa kiliweza kutumika kwa ajili ya send off na kiasi kingine kwa ajili ya harusi na pia kiasi kingine cha pesa niliweza kuanzisha biashara kadhaa ambazo pia hazikufanya vizuri maana niliishia kupata hasara.Nilikuwa napata take home ambayo kiukweli ilikuwa haitoshelezi mahitaji muhimu.

Mke wangu nilimkuta anaishi nyumba za serikali (KOTA) ambapo ni chumba na sebule.Ameishi hapo tangu alipo ajiriwa mnamo mwaka 2010.

Baada ya harusi mke wangu alinishawishi nihame nilipo kuwa naishi ili niende anapo ishi yeye (KOTA) ili niweze kusave pia gharama za kupanga. Nilikataa sana kufanya hivo lakini aliweza kulazimisha.

Nilikubaliana na uamuzi wa mke wangu,niliweza kuhamia anapo ishi yeye na hatimaye tuliunganisha vitu vyetu,sebule ikaenea vitu kiasi kwamba vingine vilikosa sehemu ya kukaa.Shule anayo fundisha mke wangu na ninapo fundisha mimi ni jirani saana (Takribani mita 100)

Tatizo linaanzia hapa wakuu,ndoa yetu ilikuwa ya furaha saana kwa kipindi cha mwaka mmoja tu.Kuanzia mwaka 2019 mwishoni mke wangu alionyesha mabadiliko makubwa saana.Alianza dharau,majivuno na kashfa..Akiwa anasema kuwa mimi naishi kwake hivyo natakiwa niondoke.

Wakuu ni maumivu makubwa mnoo,ilifikia hatua akawa hataki hata kupika wala kufua nguo zangu na anarudi nyakati anazo zijua yeye mimi nikiwa nimelala.

Ukimuuliza ni ugomvi mwanzo mwisho,ni maisha magumu sana ambayo ninapitia.Mwaka huu mwezi wa tatu bodi ya mikopo ikawa imeanza kunikata pesa yao,maana nilikuwa nimesahaulika kwa kipindi kirefu.Hivyo maumivu yakawa mara dufu,maana kwa sasa pesa inayo ingia ni 140,000/=

Baada ya kumjulisha mke wangu juu ya hilo,akazidi kunidharau na ugomvi ukawa mzito.Msimamo wake ukiwa ni ule ule kuwa nichukue vitu vyangu nimuache.Amesahau kuwa mkopo wangu pia uligharamia harusi pamoja na send off.

Nipo njia panda wakuu,najaribu kuwaza naenda kuanza vipi maisha kwa huu mshahara wangu? Nitalipia vipi kodi na hasa nikiangalia mkopo wangu ndo kwanza nimekatwa miaka miwili bado kama miaka mitano,je ntatoboa?

Saivi hali ni mbaya Zaidi,maana amenifukuza chumbani..hivyo ninalala sebuleni kwa takribani miezi mitano sasa. Ndugu,wasimamizi wa ndoa pamoja na paroko wamejaribu kutusuluhisha lakini mwenzangu ameshikilia msimamo ule ule kuwa niondoke.

Niko frustrated mnoo, kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu yangu ya kazi vile ipasavyo.

Baadhi ya ndugu wamenishauri niondoke nikaanze maisha,ukizingatia hatuna mtoto wala mali zozote tulizo chuma pamoja,isipo kuwa tuna kiwanja pekee. lakini kila nikitafakari naona sitoweza kusimama kwa huu mshahara wangu mdogo hasa kumudu gharama za maisha.

Naombeni ushauri wenu wadau,nifanye nini katika hii hali ninayo pitia? Maana kiukweli hatuna future yoyote na ninahisi nitakufa kabla ya siku zangu.Nimejaribu kuandika kwa kifupi,lakini mambo ninayo pitia ni mengi mnoo.

HAYA NI MAISHA HALISI ANAYO PITIA NDUGU YANGU WA KARIBU SANA.WANAFAMILIA HATUJUI TUNAMSAIDIA VIPI MAANA HATAKI KABISA KUONDOKA KWA HUYO MWANAMKE MBALI NA MAUMIVU NA MATESO ANAYO PITIA.KUNA MUDA TUNAWAZA ,JE AMELOGWA NA HUYO MWANAMKE? TUMEMSHAURI IMESHINDIKANA.NINI KIFANYIKE?
Mkuu pole sana kwa unayopitia, huyo mkeo hakuhitaji tena na ipo siku atakufukuza hapo sebuleni ulipojihifadhi kwa sasa, na utaondoka kwa fedheha kubwa na maumivu makali ambayo pengine hutowezavumilia. Ni vizuri uwahi kuondoka kabla hiyo siku haijawadia ambayo kwa mtazamo wangu haipo mbali . Tafuta ndugu, jamaa ama rafiki jiegeshe na uanze upya , bado hujachelewa
 
Hapa tatizo sio usumbufu wa mkeo bali ni ukosefu wa mtonyo.

Magufuli hebu ongezea mshahara hawa raia (waalimu), huyu ni mmoja tu kati ya wengi wenye stress.
 
Kama hasikii mwacheni.mateso yakizidi ataondoka mwenyewe au atakunywa sumu apumzike.
 
Kitu kinachoniuma ni kwamba sikuhizi wanaume wengi tunauziwa mbuzi kwenye gunia hatuoi kupata baraka ya mke kama zamani...

Hapo mwanaume unawaza future ya maisha yenu,unashare nae kwa upendo mkiwa na furaha.Unaamka asubuhi ukiawa motivated kwamba ipo siku utakuwa sehemu flani na familia yako itakuwa na kila kitu kumbe mwanamke hayupo huko kabisa,hajabeba visions zako kabisa na yeye ana malengo yake ambayo hayahusiani kabisa na wewe..
Si mwili mmoja.

Hamna kitu kibaya kama wanandoa kutokuwa na vision moja mara nyingi uwaga inapenyeza tabia za ajabu ajabu sana.Mwanaume ana mali hizi mkewe hajui ,mwanamke anajenga kule mume hajui yana shaghala baghala...

Hakika,Mungu atunusuru.
 
Ni vyema tungesikia na upande wa pili! Hizo changes naamini haziwezi tokea ghafla kuna mizizi tayari imeisha komaa! Kuna mahali mambo hayapo sawa!
Ila pole sana brother!
 
Aisee.

Akiendelea kuwa hapo chini ya utumwa wa mwanamke ataambulia kifo mwambie akimbie mapema ndugu yetu aokoe maisha yake.
 
Hapo ana option mbili. Akanunue magunia mawili ya mkaa amkill huyo mwanamke maisha yaendelee au aondoke.

Sasa na yeye mbona anakuwa bogoza.... Tangu lini mwanaume unaenda makazi ya mwanamke?!

Huo ni mwiko katika ukoo wetu nadhani hata katika jamii nyingi za watz mwanaume ni mwiko kuingia eneo la mwanamke. Kama anakupenda ahamie kwako sio wewe uhamie kwake.....
 
Walishauriana aende akaishi pale ili wasave hela..maana hyo nyumba ni zile kotaz za serikali..ila alikabidhiwa mwanamke.
 
Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto.

Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo msingi na mimi nipo sekondari.Yeye ana miaka 10 kazini (2010-2020) na mimi nina miaka 5 kazini (2015-2020)

Turudi nyuma kidogo,Kabla sijafahamiana na mke wangu nilikuwa na maisha yangu tu ya kawaida..ambapo kwa mshahara wangu nilikuwa namudu maisha yangu, nilikuwa nimepanga.

Mwaka 2016 niliweza kukutana na mwenzangu,tulifahamiana na hatimaye tukaanzisha mahusiano.Tuliweza kudumu kwa takribani mwaka mmoja. Mwaka 2017 tulifikia maamuzi ya kufunga pingu za maisha (NDOA).

Niligharamia harusi kwa asilimia 80,ni kipindi ambacho ilinilazimu kuingia kwenye mikopo mirefu,Maana yeye pia nilimkuta ana mkopo. Nilichukua mkopo wa muda wa miaka 7, kiasi cha pesa kiliweza kutumika kwa ajili ya send off na kiasi kingine kwa ajili ya harusi na pia kiasi kingine cha pesa niliweza kuanzisha biashara kadhaa ambazo pia hazikufanya vizuri maana niliishia kupata hasara.Nilikuwa napata take home ambayo kiukweli ilikuwa haitoshelezi mahitaji muhimu.

Mke wangu nilimkuta anaishi nyumba za serikali (KOTA) ambapo ni chumba na sebule.Ameishi hapo tangu alipo ajiriwa mnamo mwaka 2010.

Baada ya harusi mke wangu alinishawishi nihame nilipo kuwa naishi ili niende anapo ishi yeye (KOTA) ili niweze kusave pia gharama za kupanga. Nilikataa sana kufanya hivo lakini aliweza kulazimisha.

Nilikubaliana na uamuzi wa mke wangu,niliweza kuhamia anapo ishi yeye na hatimaye tuliunganisha vitu vyetu,sebule ikaenea vitu kiasi kwamba vingine vilikosa sehemu ya kukaa.Shule anayo fundisha mke wangu na ninapo fundisha mimi ni jirani saana (Takribani mita 100)

Tatizo linaanzia hapa wakuu,ndoa yetu ilikuwa ya furaha saana kwa kipindi cha mwaka mmoja tu.Kuanzia mwaka 2019 mwishoni mke wangu alionyesha mabadiliko makubwa saana.Alianza dharau,majivuno na kashfa..Akiwa anasema kuwa mimi naishi kwake hivyo natakiwa niondoke.

Wakuu ni maumivu makubwa mnoo,ilifikia hatua akawa hataki hata kupika wala kufua nguo zangu na anarudi nyakati anazo zijua yeye mimi nikiwa nimelala.

Ukimuuliza ni ugomvi mwanzo mwisho,ni maisha magumu sana ambayo ninapitia.Mwaka huu mwezi wa tatu bodi ya mikopo ikawa imeanza kunikata pesa yao,maana nilikuwa nimesahaulika kwa kipindi kirefu.Hivyo maumivu yakawa mara dufu,maana kwa sasa pesa inayo ingia ni 140,000/=

Baada ya kumjulisha mke wangu juu ya hilo,akazidi kunidharau na ugomvi ukawa mzito.Msimamo wake ukiwa ni ule ule kuwa nichukue vitu vyangu nimuache.Amesahau kuwa mkopo wangu pia uligharamia harusi pamoja na send off.

Nipo njia panda wakuu,najaribu kuwaza naenda kuanza vipi maisha kwa huu mshahara wangu? Nitalipia vipi kodi na hasa nikiangalia mkopo wangu ndo kwanza nimekatwa miaka miwili bado kama miaka mitano,je ntatoboa?

Saivi hali ni mbaya Zaidi,maana amenifukuza chumbani..hivyo ninalala sebuleni kwa takribani miezi mitano sasa. Ndugu,wasimamizi wa ndoa pamoja na paroko wamejaribu kutusuluhisha lakini mwenzangu ameshikilia msimamo ule ule kuwa niondoke.

Niko frustrated mnoo, kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu yangu ya kazi vile ipasavyo.

Baadhi ya ndugu wamenishauri niondoke nikaanze maisha,ukizingatia hatuna mtoto wala mali zozote tulizo chuma pamoja,isipo kuwa tuna kiwanja pekee. lakini kila nikitafakari naona sitoweza kusimama kwa huu mshahara wangu mdogo hasa kumudu gharama za maisha.

Naombeni ushauri wenu wadau,nifanye nini katika hii hali ninayo pitia? Maana kiukweli hatuna future yoyote na ninahisi nitakufa kabla ya siku zangu.Nimejaribu kuandika kwa kifupi,lakini mambo ninayo pitia ni mengi mnoo.

HAYA NI MAISHA HALISI ANAYO PITIA NDUGU YANGU WA KARIBU SANA.WANAFAMILIA HATUJUI TUNAMSAIDIA VIPI MAANA HATAKI KABISA KUONDOKA KWA HUYO MWANAMKE MBALI NA MAUMIVU NA MATESO ANAYO PITIA.KUNA MUDA TUNAWAZA ,JE AMELOGWA NA HUYO MWANAMKE? TUMEMSHAURI IMESHINDIKANA.NINI KIFANYIKE?
Kitu cha kwanza ulichokosea ni kukopa fedha ili ukafanye harusi...aisee hpo ulifanya mistake kubwa sana...kwa nn usingefunga ndoa ya kawaida tu hyo hea ukafanyia ya msingi aiseee!!

Naongea hayo kwa sababu mm maisha yngu hayatofautian hasa na yako..nilipata mwanamke akawa hatak kutoka kwao bila harusi...nikampig chini nikachukua mwngne..nishamwambia kbsa msimamo wangu...naona mguu nje mguu ndani...akizngua nae napiga chini...siwez ingia hasara ya miaka kibao kwa ajili ya burudan y usiku mmoja tu...

Kurud kwenye mada wewe n mwanamme..tafuta namna yeyote ya kutoka hapo..mambo mengne yatajiset yenyewe...USIOGOPE..AMKA ANZA UPYA
 
Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto.

Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo msingi na mimi nipo sekondari.Yeye ana miaka 10 kazini (2010-2020) na mimi nina miaka 5 kazini (2015-2020)

Turudi nyuma kidogo,Kabla sijafahamiana na mke wangu nilikuwa na maisha yangu tu ya kawaida..ambapo kwa mshahara wangu nilikuwa namudu maisha yangu, nilikuwa nimepanga.

Mwaka 2016 niliweza kukutana na mwenzangu,tulifahamiana na hatimaye tukaanzisha mahusiano.Tuliweza kudumu kwa takribani mwaka mmoja. Mwaka 2017 tulifikia maamuzi ya kufunga pingu za maisha (NDOA).

Niligharamia harusi kwa asilimia 80,ni kipindi ambacho ilinilazimu kuingia kwenye mikopo mirefu,Maana yeye pia nilimkuta ana mkopo. Nilichukua mkopo wa muda wa miaka 7, kiasi cha pesa kiliweza kutumika kwa ajili ya send off na kiasi kingine kwa ajili ya harusi na pia kiasi kingine cha pesa niliweza kuanzisha biashara kadhaa ambazo pia hazikufanya vizuri maana niliishia kupata hasara.Nilikuwa napata take home ambayo kiukweli ilikuwa haitoshelezi mahitaji muhimu.

Mke wangu nilimkuta anaishi nyumba za serikali (KOTA) ambapo ni chumba na sebule.Ameishi hapo tangu alipo ajiriwa mnamo mwaka 2010.

Baada ya harusi mke wangu alinishawishi nihame nilipo kuwa naishi ili niende anapo ishi yeye (KOTA) ili niweze kusave pia gharama za kupanga. Nilikataa sana kufanya hivo lakini aliweza kulazimisha.

Nilikubaliana na uamuzi wa mke wangu,niliweza kuhamia anapo ishi yeye na hatimaye tuliunganisha vitu vyetu,sebule ikaenea vitu kiasi kwamba vingine vilikosa sehemu ya kukaa.Shule anayo fundisha mke wangu na ninapo fundisha mimi ni jirani saana (Takribani mita 100)

Tatizo linaanzia hapa wakuu,ndoa yetu ilikuwa ya furaha saana kwa kipindi cha mwaka mmoja tu.Kuanzia mwaka 2019 mwishoni mke wangu alionyesha mabadiliko makubwa saana.Alianza dharau,majivuno na kashfa..Akiwa anasema kuwa mimi naishi kwake hivyo natakiwa niondoke.

Wakuu ni maumivu makubwa mnoo,ilifikia hatua akawa hataki hata kupika wala kufua nguo zangu na anarudi nyakati anazo zijua yeye mimi nikiwa nimelala.

Ukimuuliza ni ugomvi mwanzo mwisho,ni maisha magumu sana ambayo ninapitia.Mwaka huu mwezi wa tatu bodi ya mikopo ikawa imeanza kunikata pesa yao,maana nilikuwa nimesahaulika kwa kipindi kirefu.Hivyo maumivu yakawa mara dufu,maana kwa sasa pesa inayo ingia ni 140,000/=

Baada ya kumjulisha mke wangu juu ya hilo,akazidi kunidharau na ugomvi ukawa mzito.Msimamo wake ukiwa ni ule ule kuwa nichukue vitu vyangu nimuache.Amesahau kuwa mkopo wangu pia uligharamia harusi pamoja na send off.

Nipo njia panda wakuu,najaribu kuwaza naenda kuanza vipi maisha kwa huu mshahara wangu? Nitalipia vipi kodi na hasa nikiangalia mkopo wangu ndo kwanza nimekatwa miaka miwili bado kama miaka mitano,je ntatoboa?

Saivi hali ni mbaya Zaidi,maana amenifukuza chumbani..hivyo ninalala sebuleni kwa takribani miezi mitano sasa. Ndugu,wasimamizi wa ndoa pamoja na paroko wamejaribu kutusuluhisha lakini mwenzangu ameshikilia msimamo ule ule kuwa niondoke.

Niko frustrated mnoo, kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu yangu ya kazi vile ipasavyo.

Baadhi ya ndugu wamenishauri niondoke nikaanze maisha,ukizingatia hatuna mtoto wala mali zozote tulizo chuma pamoja,isipo kuwa tuna kiwanja pekee. lakini kila nikitafakari naona sitoweza kusimama kwa huu mshahara wangu mdogo hasa kumudu gharama za maisha.

Naombeni ushauri wenu wadau,nifanye nini katika hii hali ninayo pitia? Maana kiukweli hatuna future yoyote na ninahisi nitakufa kabla ya siku zangu.Nimejaribu kuandika kwa kifupi,lakini mambo ninayo pitia ni mengi mnoo.

HAYA NI MAISHA HALISI ANAYO PITIA NDUGU YANGU WA KARIBU SANA.WANAFAMILIA HATUJUI TUNAMSAIDIA VIPI MAANA HATAKI KABISA KUONDOKA KWA HUYO MWANAMKE MBALI NA MAUMIVU NA MATESO ANAYO PITIA.KUNA MUDA TUNAWAZA ,JE AMELOGWA NA HUYO MWANAMKE? TUMEMSHAURI IMESHINDIKANA.NINI KIFANYIKE?
Aliekusababishia ukatwe pesa nyingi ni magufuli za loanboard baada ya kuongeza makato awamu hii ya tano from 8 to 15 % . Mchague lissu tuu. Pia magufuli hajakuongezea daraja ambalo lingekusogeza mbele kidogo. Pia hujapata salary increment ya kila mwaka.
 
Back
Top Bottom