Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,069
- 4,263
Wow!!!! Mambo ya Jf bwana.Nikisikiaga hilo jina Saudi arabia nawazaga na kuona upanga unaongaa ukitaka kukata kichwa changu kama kashogi.
Al-jaazera bado Jamal kashoggi yupo kwa hewa....kafikisha siku 100 baada ya kuuwawa.
Unakatwa katwa vipande vipande na Majambia mithili ya guruwe lililonona kisha Wanaume wanahitimisha kazi kwa kusanya vipande na kutia ndani ya pipa la Acid.
Hapo ni kwisha habari yako,Wanaume vifua mbele hapana mchezo kabisa huko...roho mkononi kama umekatwa ugoni.
Sent using Jamii Forums mobile app