Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

Nikisikiaga hilo jina Saudi arabia nawazaga na kuona upanga unaongaa ukitaka kukata kichwa changu kama kashogi.
Wow!!!! Mambo ya Jf bwana.

Al-jaazera bado Jamal kashoggi yupo kwa hewa....kafikisha siku 100 baada ya kuuwawa.

Unakatwa katwa vipande vipande na Majambia mithili ya guruwe lililonona kisha Wanaume wanahitimisha kazi kwa kusanya vipande na kutia ndani ya pipa la Acid.

Hapo ni kwisha habari yako,Wanaume vifua mbele hapana mchezo kabisa huko...roho mkononi kama umekatwa ugoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who is that Woman on Al Jazeera...??

"Woman is a Defect"

Wanawake Katika Ulimwengu Ule wanatia huruma sana Wanapata tabu sana,Kisaikolijia,kimwili kiakili wengi wapo wapo Ka'Mazombie.

Mwanamama Walfa Sultan ni mfano mzuri ambaye ameelezea Changamoto ziwakutazo wanawake wa Ulimwengu Ule.
"Religion steals Freedom,kills creativity turns us into slaves and against one another"

Na huyo mwanadada akinaswa tu/akitiwa mikono mwao basi kwisha habari yake...Jambia halitamuacha salama,kichwa chake halali yao.

Nb:You are better than your Religion,You are better than your Allah/God

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona huyu binti Rahaf kashapatiwa kibali cha kuishi Canada , lkn hiki kitendo mi nazani ni matokeo ya mabadiliko ya sera alizofanya MBS mwana wa mfalme huyu alipoingia madarakani alifanya mabadiliko kadhaa ya sera hasa zilizokuwa zikimkandamiza mwanamke kule saudi mfano walikuwa hawaruhusiwi hawa ku drive, kumiliki simu pia hata kuachwa ilikuwa ni mwanaume tu akipenda bac anakubwaga bila hata ya taarifa.. Binafsi naona kbs mabadiliko ya sera hasa wanawake kumiliki social network accounts na simu ita explore madudu menfi sana kandamizi zidi ya wanawake kule SA
isitoshe hata yule marehemu kashoga alikuwa anapinga mabadiliko ya sera alizofanya MBS hivyo bac ina maanisha kashoga likuwa anapendezwa na ukandamizaji kule SA
 
upo sahihi kabisa Mkuu
bila ya huyu Mwana wa Mfalme kuruhusu haya mengi tutaanza kuona ustaarabu unaingia Saudia
bila simu na mitandao huyu Bint asingechepuka kutafuta uhuru wake
pale walipomuacha na akajifungia mwenyewe na kasimu kake ndipo alipoomba misaada kila kona na kweli sasa wanamtarajia Toronto Canada wakati wowote baada ya kutoka Bangkok na Seoul
A Korean Air flight carrying Alqunun left Bangkok for Seoul on Friday night at 11:37pm local time (16:37 GMT),
Alqunun was expected to board a connecting flight to Toronto from Seoul's Incheon airport before arriving in Canada on Saturday morning 12 January 2019
Saudi teen Rahaf Alqunun due to arrive in Canada for asylum
1547300068163.png
 
Binti mmoja raia wa Saudi Arabia, Rahaf Mohammed, miaka 18 amewekwa kizuizini uwanja wa ndege wa Bangkok Thailand alipojaribu kuikimbia familia yake na mateso nchini Saudi Arabia. Kwa maelezo yake ni kwamba matukio yaliyomtokea ni pamoja na kukata nywele zake na familia yake kumpa adhabu ya kukaa chumbani kwa miezi 6. Ameamua kukana dini yake ya Kiislamu na hajajiunga na dini nyingine yoyote. Amekimbia kuolewa. Rahaf anadai kuwa maofisa wa Saudi Arabia nchini Thailand walimpora passport yake, na wapo watu wasiojulikana ambao wanakaa nje ya mlango wa chumba cha hotel aliyomo ili asitoroke. Anadai kuwa akirudi nchini kwake, maana wanataka kumrudisha saa chache zijazo atauawa na familia yake kwa kuwaaibisha. Wataalamu wa code of honor wataelewa maana yake na huwa wanauawa vipi kulingana na imani ya nchi aliyotoka. UPDATES. Rahaf amechukuliwa na Umoja wa Mataifa, UNHCR ambapo atatunzwa kwa siku chache huku akitafutiwa hadhi ya Ukimbizi. Inasemekana baba yake pia amewasili nchini Thailand. Serikali ya Thailand imeahidi kumpa ulinzi hadi atakapoondoka nchini humo. Vyombo vya habari na haki za binadamu vimejitahidi sana kumtetea.
Dah uislamu huo wa kuua watu ukikana dini
 
upo sahihi kabisa Mkuu
bila ya huyu Mwana wa Mfalme kuruhusu haya mengi tutaanza kuona ustaarabu unaingia Saudia
bila simu na mitandao huyu Bint asingechepuka kutafuta uhuru wake
pale walipomuacha na akajifungia mwenyewe na kasimu kake ndipo alipoomba misaada kila kona na kweli sasa wanamtarajia Canada wakati wowote licha australia nao kumkubali
mimi najiuliza kama huko saudia wana chinja mkosaji tu aliyetoroka kwao inanipa mashaka kuhusu imani zingine izi, na ivyo onekana mabinti wengi kule saudi wanapenda uhuru wa kujiachia kama kuvaa suruali yaan wanataka uhuru maana ukifuatilia ktk twetter unaona wa saudi waliopi nje ya SA wana mpongeza yule binti
 
ULIMSIKIA KIONGOZI WA SAUDI ARABIA AKISEMA KUWA HUYO MSICHANA ATAUWAWA AKIRUDI ??
 
Who is that Woman on Al Jazeera...??

"Woman is a Defect"

Wanawake Katika Ulimwengu Ule wanatia huruma sana Wanapata tabu sana,Kisaikolijia,kimwili kiakili wengi wapo wapo Ka'Mazombie.

Mwanamama Walfa Sultan ni mfano mzuri ambaye ameelezea Changamoto ziwakutazo wanawake wa Ulimwengu Ule.
"Religion steals Freedom,kills creativity turns us into slaves and against one another"

Na huyo mwanadada akinaswa tu/akitiwa mikono mwao basi kwisha habari yake...Jambia halitamuacha salama,kichwa chake halali yao.

Nb:You are better than your Religion,You are better than your Allah/God

Sent using Jamii Forums mobile app

Alikuambia mtu yoyote kutoka Saudi Arabia kuwa huyu msichana atauwawa??
 
Waatkrabu watu wa ajabu sana na wwakatili kupita maelezo!! Huyo dada anaenda kuuuwawa na familia yake!!
Yaani kisa dini familia inamuua ndugu yao!
Fu***ck them

Kuliko waafrika waliompoteza Ben Saanane na wengineo ??
 
ULIMSIKIA KIONGOZI WA SAUDI ARABIA AKISEMA KUWA HUYO MSICHANA ATAUWAWA AKIRUDI ??
kwa mujibu ya maelezo yake yy mwenyewe binti huyo alisema kwa kitendo alicho fanya walimwambia ata chinjwa na ukumbuke mwaka juzi alikata nywele zake bac unaambiwa alipewa adhabu ya kufungiwa ndani miezi 6. brother sijui sister ww kama hujafuatilia hili tukio na habari kwa ujumla usikosoe comment za watu KAA CHINI TAKE TIME TO READ THEN COMMENT
 
Wanasema huyo Dina wa mwaka 2017 uncle zake waliruhusiwa kuingia airport wakampiga kwanza, wakamfunga mdomo kwa tape wakamweka kwenye wheelchair wakamrudisha Saudi Arabia. Tangu wakati huo mpaka leo habari zake hazijasikika tena.
Kuna watu wanajua fika kuwa haya yanaruhusiwa katika imani yao lakini ndio wafanyeje.
Kama mtu anapigwa airport sehemu ya public akiwa ndani nyumbani kwao watamfanya nini?

hivi nikikwambia wanaume wanaolewa na wanaume wenzao ,ULAYA NA MAREKANI hivyo ndivyo ukristo ulivyoruhusu katika imani yao utaamini??
 
kwa mujibu ya maelezo yake yy mwenyewe binti huyo alisema kwa kitendo alicho fanya walimwambia ata chinjwa na ukumbuke mwaka juzi alikata nywele zake bac unaambiwa alipewa adhabu ya kufungiwa ndani miezi 6. brother sijui sister ww kama hujafuatilia hili tukio na habari kwa ujumla usikosoe comment za watu KAA CHINI TAKE TIME TO READ THEN COMMENT

HIZO NI SPECULATION ZAKO ,ULIMSIKIA MWENYEWE ??
 
ULIMSIKIA KIONGOZI WA SAUDI ARABIA AKISEMA KUWA HUYO MSICHANA ATAUWAWA AKIRUDI ??

''She told the New York Times that her life in Saudi Arabia was like a “prison,” where she faced verbal and physical abuse at the hands of her family:

In the interview, Ms. Alqunun described a life of unrelenting abuse at the hands of her family, who live in the city of Hail, in northern Saudi Arabia. She said she was once locked in a room for six months because she had cut her hair in a way that her family did not approve of. And she said her family used to beat her, mostly her brother.'' NIMEITOA KTK GAZETI MOJA ONLINE​

hao Canada akitokea mtu yoyote kutoka NCHI YOYOTE AFRIKA akisema hayo aliyoyasema huyo dada, katu hata usingaliwasikia hao canada au HRW kusema kitu . Canada wana ugomvi zamani na SA tokea Msaudi alipomfukuza balozi wa CANADA

ndio utaona mengi magazetini

Mimi biinafsi siwaungi mkono saudi arabia na tawala za nchi za kiarabu lakini hawa wazungu wana nyuso 2
 
HIZO NI SPECULATION ZAKO ,ULIMSIKIA MWENYEWE ??
We jamaa sijui una MATATIZO ya kutotafuta TAARIFA una access ya internet kwann usijipe muda wa kusoma kufuatilia habari ACHA UBOYAAAA, Speculation zangu mm kwan ndio nilikimbilia Bangkok ? acha UZEMBE man READ
 
unachoambiwa na wewe ujiambie , humo kwenye internet mna mengi nikikushushia utakimbia jf
 
Back
Top Bottom