Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,088
LUGHA UNAIJUA AU NI elimdunia tu sikiliza hiyoTaarifa without source sio taarifa, umeamua kujitungia tu, na umewakamata kwelikweli humu.
LUGHA UNAIJUA AU NI elimdunia tu sikiliza hiyoTaarifa without source sio taarifa, umeamua kujitungia tu, na umewakamata kwelikweli humu.
Kawaulize RC na SDAmkuu ivi free mason ni dini?
Je wakikuomba evidence utawaletea? Binafsi siamini unachokisema, na hata ushahid wenyewe hatuna unless tumekaririshwa na westrn countries. Waafrika tuna safari ndefu sana, wazungu wametuharibu akili zetu, wametuletea michoro yao inaonyesha waarabu wametesa babu zetu wakati sio kweri. Just think kabla haujakurupuka!
Taarifa without source sio taarifa, umeamua kujitungia tu, na umewakamata kwelikweli humu.
Lete kithibitisho hapa, na sio kuongea tu. Na hata mleta uzi ameleta taarifa yake without source, sasa tutaamini vipi!!!! Hivi trump alikosea kutuita SHITHOLE?
Hakuna cha ushabiki hapa. Lete fact/evidence ndio kitu muhimu. Tatizo lenu wazungu wamewateka akili zenu na mkasadiki yaliyo_semwa/tungwa kwenye vitabu vya primary. Ha hhhaaa kweli wametukamata Kweli kweli 😆😆
watajuana wenyewe Wasaudi sijui Wakuwait huko. Mie na Ndugai leo.
Hiko ki binti kiranga chake tu hakuna cha kuuliwa wala nini.
LOL! msichana mdogo yupi?Ubinadamu kwanza; upuuzi mwingine baadaye! Kwako dini unaipa priority kuliko maisha ya msichana mdogo kwa kisingizio cha dini? You must be mad sio bure.
Kweli kabisaKatika Dini ya kiislamu ni alamu kumlazimisha MTU kufata dini yako! Kinachoendelea Saudi Arabia ni Tamaduni zao na sio masuala ya Dini! Kwa miaka mingi sana waarabu wamekua wakiwachukulia wanawake km bidhaa tu au maroboti tofauti na Dini ya Kislamu inavosema....Ukitaka jua hilo Angalia Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Kule wanawake wana Uhuru sana kuanzia kazini,serikalini nk nk Tofauti na SaudiArabia mpaka mwaka Jana wanawake walikua hawaruhusiwi ata kuendesha gari achilia mbali kushiriki ktk masuala ya Uchumi....Japokua kuna Whitewashing za Western Media kukuza aya mambo hasa ktk baadhi ya Nchi kujaribu kuvunja Imani zao na desturi zao lakini Saudi Ipo nyuma sana kwenye Masuala ya Haki za Binadamu....Tatizo lingine mwanaMfalme ameruhusu mambo mengi ya kimagharibi kuingia Nchi mwao bila maandalizi yoyote na kule kiukweli wazazi bado wananguvu kwenye malezi ya watoto wao Tafauti na uku Kwetu tushazoa Baikoko,vigodoro,madisco na maushenzi mengi tu mitaani kwetu....Imagine Amber Rutty ndo angekua ni binti wa Saudi kwa tamaduni zao nadhani ya Jamal Kashoggi yangemkuta....Poleni Sana Saudi Technology mliyoruhusu tegemeeni mabinti zenu wengi kuwakana kuanzia Tamaduni zenu,Dini na Mila maana watataka wafanane na wakina Jlo
Sent using Jamii Forums mobile app
TutawachinjaKatika Dini ya kiislamu ni alamu kumlazimisha MTU kufata dini yako! Kinachoendelea Saudi Arabia ni Tamaduni zao na sio masuala ya Dini! Kwa miaka mingi sana waarabu wamekua wakiwachukulia wanawake km bidhaa tu au maroboti tofauti na Dini ya Kislamu inavosema....Ukitaka jua hilo Angalia Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Kule wanawake wana Uhuru sana kuanzia kazini,serikalini nk nk Tofauti na SaudiArabia mpaka mwaka Jana wanawake walikua hawaruhusiwi ata kuendesha gari achilia mbali kushiriki ktk masuala ya Uchumi....Japokua kuna Whitewashing za Western Media kukuza aya mambo hasa ktk baadhi ya Nchi kujaribu kuvunja Imani zao na desturi zao lakini Saudi Ipo nyuma sana kwenye Masuala ya Haki za Binadamu....Tatizo lingine mwanaMfalme ameruhusu mambo mengi ya kimagharibi kuingia Nchi mwao bila maandalizi yoyote na kule kiukweli wazazi bado wananguvu kwenye malezi ya watoto wao Tafauti na uku Kwetu tushazoa Baikoko,vigodoro,madisco na maushenzi mengi tu mitaani kwetu....Imagine Amber Rutty ndo angekua ni binti wa Saudi kwa tamaduni zao nadhani ya Jamal Kashoggi yangemkuta....Poleni Sana Saudi Technology mliyoruhusu tegemeeni mabinti zenu wengi kuwakana kuanzia Tamaduni zenu,Dini na Mila maana watataka wafanane na wakina Jlo
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani kama kweli kuna moto hakuna majitu yatakayochomwa kama yanayojiita mujahidinaWaislamu hawana akili,sijui huwa wanafikiria kwa kutumia Nini, uislamu Ni dini ya majini, majini yamewaroga wanashindwa hata kutambua kuwa Mtume wao Ni mbakaji,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ndio hukumu ya. Murtad yoyoteWANAOUA ALBINO NI KOSA LA JINAI NA AKIKAMATWA ANASHITAKIWA KWA MUJIBU WA SHERIA ,ILA HUKO SAUDIA,HUYO DADA ATACHINJWA NA WATU WATASEMA TAKBIIIIIR
duh ! hiyo ndio dini ya Mungu mwenye upendo.kwani kuwa kwenye hiyo dini ni lazima mpaka umuue mtu .Shetani kweli yupo kazini.Hio ndio hukumu ya. Murtad yoyote
Murtad NI yule alieacha uisilamuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamtaweza hicho kituHio ndio hukumu ya. Murtad yoyote
Murtad NI yule alieacha uisilamuu
Sent using Jamii Forums mobile app