Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

Nchi ina masharti lakini upuuzi wao wanaufanya kwenye mitandao. Msaudia hashindwi kukupigia video call uone nyeti zake
 
Katika Dini ya kiislamu ni alamu kumlazimisha MTU kufata dini yako! Kinachoendelea Saudi Arabia ni Tamaduni zao na sio masuala ya Dini! Kwa miaka mingi sana waarabu wamekua wakiwachukulia wanawake km bidhaa tu au maroboti tofauti na Dini ya Kislamu inavosema....Ukitaka jua hilo Angalia Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Kule wanawake wana Uhuru sana kuanzia kazini,serikalini nk nk Tofauti na SaudiArabia mpaka mwaka Jana wanawake walikua hawaruhusiwi ata kuendesha gari achilia mbali kushiriki ktk masuala ya Uchumi....Japokua kuna Whitewashing za Western Media kukuza aya mambo hasa ktk baadhi ya Nchi kujaribu kuvunja Imani zao na desturi zao lakini Saudi Ipo nyuma sana kwenye Masuala ya Haki za Binadamu....Tatizo lingine mwanaMfalme ameruhusu mambo mengi ya kimagharibi kuingia Nchi mwao bila maandalizi yoyote na kule kiukweli wazazi bado wananguvu kwenye malezi ya watoto wao Tafauti na uku Kwetu tushazoa Baikoko,vigodoro,madisco na maushenzi mengi tu mitaani kwetu....Imagine Amber Rutty ndo angekua ni binti wa Saudi kwa tamaduni zao nadhani ya Jamal Kashoggi yangemkuta....Poleni Sana Saudi Technology mliyoruhusu tegemeeni mabinti zenu wengi kuwakana kuanzia Tamaduni zenu,Dini na Mila maana watataka wafanane na wakina Jlo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa

Tutawachinja
 
Hio ndio hukumu ya. Murtad yoyote
Murtad NI yule alieacha uisilamuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamtaweza hicho kitu
kuna mtu aliitwa Ayatollah Khomenei alitamka Suleman Rushdie AUAWE popote alipo
lakini Ayatollah hakuchukua muda AKAFWARIKI licha ya maandamano kushinikiza huko aliko (UK) Salman Rushdie auawe
kutafuta njia iliyo ya kweli ni kwa kulazimisha mwacheni huyo Bint atafute KWELI ilipo
kwani hakuna aliyefika peponi au Jehanamu na kakuhadithieni kuwa mpo sahihi na mnazidi kuwadharau binadamu wenzenu
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom