Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

Otterhound Mungu anapaswa awe mtenda haki, mwenye kujali viumbe wake, mwenye huruma, asiyeruhusu matendo ya kikatili(_likiwemo la mwanadam kumchinja mwanadamu mwenzake), lolote litakalofanyika lisilo la haki lisihusushwe na Mungu au lisipewe uhalali na Mungu. Tanzania huenda yanafanyika mengi na nayakutisha kupita ya saudia lakini tofauti ni kwamba yanayofanyika tz ni uhalifu na ni kinyume na kanuni na sheria za Mungu, tofauti na Saudia ambapo matukio hayo ya kikatili yanahusishwa na Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Majini yakishawapanda upstairs sijui hata kama watakuelewa Mkuu! Mijitu inawaza uuwaji tu kisa dini imesema!
 
Kama hujui ukristu wa kiroma ulivyosambaa na unavyosambaa ni bora kukaa kimya, tofauti na hapo jifunze maandiko ya dini yanasemaje kama muongozo wa binadamu. Ndio maana kuna andiko la kifreemason linasema usimshuhudie jirani uongo. Ubaya sisi tunawachukia freemason na hatusomi maandiko yao.

mkuu ivi free mason ni dini?
 
Katika Dini ya kiislamu ni alamu kumlazimisha MTU kufata dini yako! Kinachoendelea Saudi Arabia ni Tamaduni zao na sio masuala ya Dini! Kwa miaka mingi sana waarabu wamekua wakiwachukulia wanawake km bidhaa tu au maroboti tofauti na Dini ya Kislamu inavosema....Ukitaka jua hilo Angalia Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Kule wanawake wana Uhuru sana kuanzia kazini,serikalini nk nk Tofauti na SaudiArabia mpaka mwaka Jana wanawake walikua hawaruhusiwi ata kuendesha gari achilia mbali kushiriki ktk masuala ya Uchumi....Japokua kuna Whitewashing za Western Media kukuza aya mambo hasa ktk baadhi ya Nchi kujaribu kuvunja Imani zao na desturi zao lakini Saudi Ipo nyuma sana kwenye Masuala ya Haki za Binadamu....Tatizo lingine mwanaMfalme ameruhusu mambo mengi ya kimagharibi kuingia Nchi mwao bila maandalizi yoyote na kule kiukweli wazazi bado wananguvu kwenye malezi ya watoto wao Tafauti na uku Kwetu tushazoa Baikoko,vigodoro,madisco na maushenzi mengi tu mitaani kwetu....Imagine Amber Rutty ndo angekua ni binti wa Saudi kwa tamaduni zao nadhani ya Jamal Kashoggi yangemkuta....Poleni Sana Saudi Technology mliyoruhusu tegemeeni mabinti zenu wengi kuwakana kuanzia Tamaduni zenu,Dini na Mila maana watataka wafanane na wakina Jlo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi hauna maana tena ufutwe @mods mpo wapi? kichwa cha habar na ujinga na udini umewajaa wapuuzi wote wanaotukana dini ya mwingine kwenye comment box

waswahili mavi mavi nyie uislamu umeletwa tu na ukristo umeletwa tu umewapumbaza ndugu wote rangi nyeusi kama mkaa ila mnashabikia upuuzi na kila mmoja kujiona bora wakat hamna mbele wala nyuma.

Kama mzazi wako asingekua mkristo au muislam wewe ungekua mpagani tu ila upo hapa kutukana watu usiowajua kisa dini yako usioijua na usiofuta sheria zake
 
Nyie mnaoitwa kondoo mliopotea mna tabu Sana ...source ya habari iko wapi bila ya hivyo hii habari mmejitungia tu
Je wakikuomba evidence utawaletea? Binafsi siamini unachokisema, na hata ushahid wenyewe hatuna unless tumekaririshwa na westrn countries. Waafrika tuna safari ndefu sana, wazungu wametuharibu akili zetu, wametuletea michoro yao inaonyesha waarabu wametesa babu zetu wakati sio kweri. Just think kabla haujakurupuka!
1546978274153.png

Mwanamke akwama uwanja wa ndege akijaribu kutoroka familia yake
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom