Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

''She told the New York Times that her life in Saudi Arabia was like a “prison,” where she faced verbal and physical abuse at the hands of her family:

In the interview, Ms. Alqunun described a life of unrelenting abuse at the hands of her family, who live in the city of Hail, in northern Saudi Arabia. She said she was once locked in a room for six months because she had cut her hair in a way that her family did not approve of. And she said her family used to beat her, mostly her brother.'' NIMEITOA KTK GAZETI MOJA ONLINE​

gazeti lako moja la online halijasema kuna kiongozi wa SA aliyetamka kuwa akirudi atakamatwa au kuuawa ulisikia wapi habari hizi , au hicho kiengereza chako ni cha Magufuli??

habari za internet , utumie akili yako pia,

katika internet mna habari Ali Hassan Mwinyi alifariki zamani

Kass FM International
24 februari 2017 ·
Former President Ali Hassan Mwinyi is Dead at the age of 91
Family of the former president of Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, with deep regrets announce the death of the former president, family said in a statement.
According to the statement, the former president died in a California Hospital in the United States where he was receiving medica
 
Huyo Gavana Anatete upuuzi tuu wa kiarabu! Bint wengi wa kiaranu wanateswa tena na familia zao ndugu wa damu kaka mama na dada hasa binamu!!
 
ULIMSIKIA KIONGOZI WA SAUDI ARABIA AKISEMA KUWA HUYO MSICHANA ATAUWAWA AKIRUDI ??
Kashoggy hakuuawa na Mfalme wa Saudi akaficha
Wasaudi hawajawapiga Vita waYemen?
mbona huko nyuma ya hizi thread tunakueleza evidence zote hutaki kuziamini
msichana atatunga uongo ili iwe nini?
 
gazeti lako moja la online halijasema kuna kiongozi wa SA aliyetamka kuwa akirudi atakamatwa au kuuawa ulisikia wapi habari hizi , au hicho kiengereza chako ni cha Magufuli??

habari za internet , utumie akili yako pia,

katika internet mna habari Ali Hassan Mwinyi alifariki zamani

Kass FM International
24 februari 2017 ·
Former President Ali Hassan Mwinyi is Dead at the age of 91
Family of the former president of Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, with deep regrets announce the death of the former president, family said in a statement.
According to the statement, the former president died in a California Hospital in the United States where he was receiving medica

We jamaa nimegundua huna logical mind kabisa , ss una ambiwa mwinyi kafariki we unashindwa kuweka question mark {?} tafuta vyanzo mbali mbali usi conclude ktk chanzo kimoja, sasa kwa case ya ilo gazeti nililikuletea ni chanzo cha kuaminika sio taarifa toka wikipedia
 
Binti mmoja raia wa Saudi Arabia, Rahaf Mohammed, miaka 18 amewekwa kizuizini uwanja wa ndege wa Bangkok Thailand alipojaribu kuikimbia familia yake na mateso nchini Saudi Arabia. Kwa maelezo yake ni kwamba matukio yaliyomtokea ni pamoja na kukata nywele zake na familia yake kumpa adhabu ya kukaa chumbani kwa miezi 6. Ameamua kukana dini yake ya Kiislamu na hajajiunga na dini nyingine yoyote. Amekimbia kuolewa. Rahaf anadai kuwa maofisa wa Saudi Arabia nchini Thailand walimpora passport yake, na wapo watu wasiojulikana ambao wanakaa nje ya mlango wa chumba cha hotel aliyomo ili asitoroke. Anadai kuwa akirudi nchini kwake, maana wanataka kumrudisha saa chache zijazo atauawa na familia yake kwa kuwaaibisha. Wataalamu wa code of honor wataelewa maana yake na huwa wanauawa vipi kulingana na imani ya nchi aliyotoka. UPDATES. Rahaf amechukuliwa na Umoja wa Mataifa, UNHCR ambapo atatunzwa kwa siku chache huku akitafutiwa hadhi ya Ukimbizi. Inasemekana baba yake pia amewasili nchini Thailand. Serikali ya Thailand imeahidi kumpa ulinzi hadi atakapoondoka nchini humo. Vyombo vya habari na haki za binadamu vimejitahidi sana kumtetea.

Uuhhhh.

Afadhali kabisa.
 
Mabinti wa Saidi Arabia washachoka kuvaa mibaibui kila mara mwaka mzima Rahaf kutua tu Canada day One katupia kitu cha short skirt mtoto anataka mwili upumue (hahahahahaha) nasikia kimedahiliwa chuo flani pale toronto tayari kuanza masomo ya usanifu majengo (Architecture)
1547334819840.png
1547334819840.png
 
Kashoggy hakuuawa na Mfalme wa Saudi akaficha
Wasaudi hawajawapiga Vita waYemen?
mbona huko nyuma ya hizi thread tunakueleza evidence zote hutaki kuziamini
msichana atatunga uongo ili iwe nini?

Mimi nilikuuliza Kashoggi ??

Jibu unaloulizwa na soma swali kwa kufikiri

Anayesema hapo ni msichana m Mimi nilikuuliza , kuna kiongozi yoyote wa Saudi Arabia aliyesema kuwa huyo dada akirudi atauwawa ??
 
We jamaa nimegundua huna logical mind kabisa , ss una ambiwa mwinyi kafariki we unashindwa kuweka question mark {?} tafuta vyanzo mbali mbali usi conclude ktk chanzo kimoja, sasa kwa case ya ilo gazeti nililikuletea ni chanzo cha kuaminika sio taarifa toka wikipedia

Ndio nikataka unitafutie hivyo vyanzo vinavyosema kuwa kiongozi fulani wa Saudi arabia ametamka kuwa atamuuwa huyo dada ??
 
Huyo Gavana Anatete upuuzi tuu wa kiarabu! Bint wengi wa kiaranu wanateswa tena na familia zao ndugu wa damu kaka mama na dada hasa binamu!!

Mabinti wa kiafrika huwa hawateswi ni kweli maneno yako,

Hayo hufanywa na waarabu tu , huku kwetu hayapo

Back
Top Bottom