mulanKE
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 402
- 284
Jane mzalendo nataka kukupiga miti (kwa sauti ya kalighraph jones)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jane mzalendo nataka kukupiga miti (kwa sauti ya kalighraph jones)
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kubadilisha magoli tushawazoea...juzi juzi hapa mlitaka tuwaoneshe km moja sasa mmebadilika?Mkimaliza kujenga rudi hapa uropokwe,sahii iyo ni dream
Haha you're just delirious shawty.You'll feel better70 percent is dry land you still has trouble Kenyan vain to hope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mje kujifunza zaidi na kuondoa mambo ya ukabila sio brt tu
Mje mjifunze utu muache kuchinja wenzenu kama kuku
Brain washed point.Haha you're just delirious shawty.You'll feel better
Kutangatanga kwa maneno ,mnajitahidi.Aisee yaani mtz akija Kenya lazima akae kwa slums? Halafu hata kulipa chumba kimoja huko kwa slums ni shida. Inabidi tu aombe kama kawa,'naomba malazi'
Ni rahisi kuona mayai ya ng'ombe kuliko kumwona mtanzania kasarani leave alone Karen
Ushawahi kula kuku nianze hapoMje mjifunze utu muache kuchinja wenzenu kama kuku
Wewe unafaa kushughulikiwa na Mgagaa na Upwa uache kuweka vitu vinavyoleta saratani mle ndani.Ushawahi kula kuku nianze hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol.. Hadn't noticed that. Near Tanzania-karibu Tanzania.dharau hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika Nairobi nipigie. Nipo karura forestNimepita maeneo ya Narok naenda Nairobi ; Janerose nipokee kama utakwepo mtaa wa mira Hapo nomepanda Nyaugenya.
Wewe ni afisa msitu au Ilo ni jina tu la mtaaUkifika Nairobi nipigie. Nipo karura forest
Asante sana...i hope nimepata mwenyeji ;make mimi mTz nisije potea bureUkifika Nairobi nipigie. Nipo karura forest
Ukitoka hapo tandale uje Nairobi nitakuonyesha. Nyinyi hamjui umuhimu wa urban forestry.Wewe ni afisa msitu au Ilo ni jina tu la mtaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa sijawahi kuishi tandale my fren. ..Ukitoka hapo tandale uje Nairobi nitakuonyesha. Nyinyi hamjui umuhimu wa urban forestry.
Mkuu kunywa soda hapo ulipo nije kulipa mimi, hakika umesema ukweli mtupu, Mimi mwenyewe ni Mtz naishi hapa Nairobi , hayo yote uliyoyaandika ni ya kweli kabisa wala hujaongeza chumvi ,Nimekaa Nairobi, Sehemu tofauti tofauti, nimejichanganya na wananchi wa Kawaida... Maisha yao ni magumu sana sana.....
Why?
1. Plot wanazoishi sio hygienic, choo kimoja hushea watu zaidi ya 30+ which is dangerous in case of disease epidimics
2. Nyumba ni za mabati, kama mabanda ya nguruwe, huwezi amini kumuona mtu mstaarabu kwa road but ukenda kwa plot yake ni ya bati kama nguruwe
3. Mitaa mingi haina maji, hutegemea maji yanayosambazwa na malori, Lori moja husambaza maji mtaa mzima, watu hugombania, ndio ya 20litre huuzwa 20bob=440/= Tsh... Wana wake hubeba maji mgongoni sio kichwani kama ngamia au punda wakitembea a distance.
4. Wachache sana wanao afford kula balanced diet, wengi hula mboga tu(sukuma, terere, kienyeji, etc kwa ugali, nyama ni adimu sana hula matajiri tu.....
5. Mb za Kenya huisha kama upepo na very expensive, Tsh 50/= (1110/= Tsh ) unapewa Mb-68 tu, ambazo ukilog in fb dk 10 zinaisha, wakati Tz Fb ni bure na Kwa Tsh 1500/= unapata 1GB and a lot of airtime for a week.
Hakuna vibando vya kupiga simu kama Tz, mfano Tz unaweza weka Salio ukanunua dk kadhaa za kupiga, Kenya Unaweka Salio na kupiga hivyo hivyo kavu kavu, kudadeki, Tz tuna unafuu mkubwa wa mawasiliano, huduma kama Halichachi Bando n.k zinasaidia wana nchi.
5. Uchafu na taka ni changamoto sana, wana nchi hutupa hivyo maana hakuna utaratibu maalumu kama magari, yapo machache but not affordable to wana nchi wa kawaida wa hali ya chini
6. NAULI kila city basi hujipangia haiko fixed na hakuna governing body yenye hupanga na kuamua nauli kama SUMTRA TZ... So naweza end a tao(town) kwa mbao(20bob=Tsh 440\=) lakini ujaridi kwa 70bob(=1500/= Tsh au soo(Tsh 2000/=) hii INA kufanya ushindwe kupredict
7. Wakenya hawasalimiani njiani, unapita kimya kimya unless uwe mnajuana ndo unaaema 'Sasa......" Tz ni waungwana ukipita kwa njia ni must utae hae juu waweza dondoka mbele akaja akakusevu uliyemuacha nyuma
8. Makelele MENGI sana, tao(town) juu magari yako MENGI sana hasa ya abiria, mahoni pipiiiii, it make the city look hooliganic... Tz uko poa juu mabasi yamepigwa stop kuingia city centre hata yakiingia yana location maalumu sio kuzagaa kama Nairobi
9. Matapeli yamejaaa, Ma conmen, ukiwa street kuibiwa simu ni kawaida, dk mbili unaoneshwa kisu, hasa Eastleigh kule, ni balaaa
1
Kwa Kifupi Maisha Ni magumu sana kwa RAIA wa daraja LA chini, but starehe kwa matajiri na wenye nacho
10. Mabangi yameharimu vijana, vijana waziwazi wanatafuna miraaa, na Rais Wao aliruhusu and promised to fund miraa projects, this is insane...
11. Makelele ya mziki ndani ya matatu yanaharibu sana maskio, na huwezi sikizana kwa phone ukiwa ndani ya matatu, regaae musics most preferred na matatu ziko equipped na music system nzito sound crazy for we non citizens who were not used to this before
Note:- This report is based in Society with low socioeconomic status which constitutes 75% of Kenyans in Nairobi
POSITIVE;-
1. Shule zao ziko smart huwezi differentiate Gava na private
.2. Watoto wanatema ung'eng'e balaa, mtoto wa std 4 ni sawa na form 6 wa Tz,, they are very fluent, compentent in English both written and spoken......nashauri kwenye pesa wapeleke watoto Wao kula japo kwa primary, very cheap.....na quality uko juu
3. Magari ni rahisi kumiliki
4. Starehe nyingi sanaaaaaaa, sanaaaaa kama una pesa zako
5. Hakuna MTU anajali mambo yako, no kulogana au wivu...
6. Entertainments clubs, pubs zimejaaaa
7. Mabasi yao yamepambwa sana this make the city jams look good
Ni HAYO KWA LEO, WAKIBISHANA NITALETA PICHA
Hiyo number 4 basi wanaishi kwa afya njema, mwili hauihitaji nyama kila siku lakini unahitaji mboga za majani kila siku.
Ni kweli mboga ni nzuri sana na wanajua kuzimix sana, but si kwamba huenda kula usiku na mchana but the situation force them