Maisha ya mapenzi kama ya Obama na familia yake in zawadi

Unachosema ni kweli kabisa. Wako ndani ya ndoa yao kwa miaka 25 sasa lakini utadhani ndiyo wameoana na hivyo bado wako kwenye honeymoon.

Mungu akikupa uzuri,hekima,mke mzuri,kazi nzuri,watoto wazuri,naamini utakuwa na furaha kama Obama.Ni zawadi adimu ingawa pia wengi wamepewa lakini hawajitambui
 
Haya mahusiano ya Obamas mnayapima kupitia picha tunazoona wote publicly, au wengine mna access zaidi?
Hata picha zinaongea mkuu, hawa watu wanapendana kweli, angalia sura na tabasamu zao mpaka unapata uroda!
07b6a768925490c521f83e6324ead184.jpg
 
Na Mungu Akupe hekima, akili, busara, familia nzuri na mume mzuri anayeweza kukulilia kabsa..

espy Heaven Sent

Ni ngumu sana kuficha upendo. Uwezi kuishi na mtu kwa miaka 25 ukawa unaigiza kuwa unampenda.
Mapenzi ni kuvumiliana,kupendana,kuheshimiana. Mapenzi ni zaidi ya urafiki.
Ukishindwa kumfanya mpenzi/mke wako kuwa rafiki itakuwia ngumu kudumu kwenye huo uhusiano.

Obama katufundisha kitu.
 
Kikubwa sana. Miaka 25, lakini wanaonekana kama ndo wameanza ku date.
 
Mungu akikupa uzuri,hekima,mke mzuri,kazi nzuri,watoto wazuri,naamini utakuwa na furaha kama Obama.Ni zawadi adimu ingawa pia wengi wamepewa lakini hawajitambui
Acha ujinga usione watu kwenye ndoa wanafuraha ukadhani paradiso ndoa ya Obama imepita nyakati nzito kiasi nusu waachane mtoto ndie alinusuru ndoa vunjika kwa kuumwa. Sheria za usa mtoto akiumwa wazazi ndio wanamuuguza au kulala nae sasa hapo ndipo walianza wasiliana. Ujinga wavija waleo mnaona ndoa kwa nje nakuingia tamaa pasipojuwa ndoayenyewe kwa ndani.
 
Back
Top Bottom