Maisha ya mama Anna Tibaijuka kijijini Muleba

Kilichonifurahisha hapa ni kwamba kuna progress kwa kila stage ya maisha yake.
Ametoka mbali na amejitahidi kupakumbuka kwake yani alikotoka...hayo mengine tumwachie mwenyewe!! Ila Kagemulo (1986) kaniuzi sana twitter...dogo anatukana watanzania wote aisee.....si busara!!!!
 
Graduates wa udsm hao
1. Tibaijuka (Jizi pevu)
2. Chenge (Jizi lililokubuhu, nunda)
3. Lowasa (Jizi chronic)
4. Kikwete(Dhaifu)
5. Mizengwe Pinda :)disapointed:... yeye kashachoka na iliyobaki atakupiga tuu)
6.Yoweri Museveni (president for life)
7.
8.
9.
.
.
.
.
Hiki chuo kivunjwe kiwe chuo cha kufundisha u-polisi tuu.... labda kitakuwa na manufaa japo kidogo kwa taifa.
Muhimbili tuu ndiyo ibakishwe kwa sababu kina manufaa wa taifa
 
Nyumba kama kanisa. Hawa watu wanasoma ila hawaelimiki
mkuu asilimia kubwa ya watanzania wanaishi kwenye hiyo hatua ya awali alipokuwa mama tiba akiwa kwenye nyumba ya nyasi migombani,leo kajenga hekalu,kamegewa zaidi ya billion kiharamu,na bado ana kiburi akibisha kujiuzulu.

Navuta picha kama nyumba ya mama tiba ndo hiyo ya Andrew Chenge ambaye kila tukio la ufisadi tangu zamani yupo itakwaje
 
Graduates wa udsm hao
1. Tibaijuka (Jizi pevu)
2. Chenge (Jizi lililokubuhu, nunda)
3. Lowasa (Jizi chronic)
4. Kikwete(Dhaifu)
5. Mizengwe Pinda :)disapointed:... yeye kashachoka na iliyobaki atakupiga tuu)
6.Yoweri Museveni (president for life)
7.
8.
9.
.
.
.
.
Hiki chuo kivunjwe kiwe chuo cha kufundisha u-polisi tuu.... labda kitakuwa na manufaa japo kidogo kwa taifa.
Muhimbili tuu ndiyo ibakishwe kwa sababu kina manufaa wa taifa

wasomi wa udsm ndo wanaligharimu taifa hili
 
Huyo si ndo alex kajumulo? Ni celeb kitambo kuna kipindi alikua anamwaga mahela kwenye timu za soka balaa. Alipozidisha mbwembwe dada yake akamrudisha US.

Huyu Kagemulo,, kwa kifupi anaitwa Kagem, bint wa Prof Tiba.
Kagem kwa habar zilizopo ni
malaya, jeuri, ana roho mbaya, matusi kama mzaramo na sifa nyingine mbaya mbaya anazo huyu Kagem
 
Mleta mada vp ma dj kama mbowe hawaigarmu nji hii?au vroba vmearbu ubongo wako unavyopewa kutokana na chenji ya ruzuku
 
Mleta mada vp ma dj kama mbowe hawaigarmu nji hii?au vroba vmearbu ubongo wako unavyopewa kutokana na chenji ya ruzuku

Ma'DJ wao ni #DUBAI . Wanapiga ela yaukweli. tena sometimes kwa mbinde nzito,maandamano e.t.c. Wanajenga diaspora kuepuka michoro yakisenge kama hapo juu tulivoona.
 
Hapo Moscow akiwa na familia yake alishawahi kuwa afisa kwenye ubalozi wa Urusi?

Hapana Mumewe Marehemu Wilson Tibaijuka alikuwa Balozi Wa Tanzania wa mwisho katika Nchi ya Soviet Union kabla ya kuvunjika (Decemba/25/1991) katika Jamhuri nyingine 15 na kuitwa Russia.Balozi Tibaijuka alifariki mwanzoni mwa 2000.
 
Thanks mkuu kunielewesha,maana kwenye huo ubalozi mabango yote ya mabalozi ukutani waliofanya kazi ubalozi wa Moscow sikumwona
 
Pamoja a akili nyingi alizokua/alizo nazo huyu mama mpaka kupelekea kufikia elimu ya juu kabisa,tatizo lake ni kutumia hizo akili ku-kwapua pesa za umma ambao kwa kiasi kukubwa ni wafia jasho badala ya kuzitumia kutatua maatatizo ya hao wavuja jasho...kwa Maana nyingine tunasema akili zake zimekua "useless". Tuhitimishe kwa kusema watu hawa wenye akili nyingi hawana mchango wa muhimu katika jamii yetu,bora sisi wenye akili za kawaida tulio na viji-Certificate,diploma na degree za kawaida tu.
 
Acha utoto, One can not say for sure if it were you given that money you will reject the same! Hayo ni maneno kwa vile huna nafasi ya kufanya hivyo/kupata. SWALI (IN KISWAHILI): UKIPATA NAFASI YA KUPEWA FEDHA HIZO NA RUGEMALILA (OR ANY ONE ELSE) UTAZIACHA NA UMASIKINI ULIO NAO? JUST THINK OF IT?
 
Kuna tatizo gani kuwa kama kanisa ?Is there a universal standard of the size of a house one has to erect?

ImageUploadedByJamiiForums1419387076.507131.jpg
Haaaaaahaaa bi mkubwa kakupunguzia million ngapi?usipige kelele kumbe na wewe una baba mwenye nyumba kama mimu.
 
Apangishe ya mikocheni, akapumzike kijijini.

Huyu mama lakini ni mwanachama mwenzetu wa JF ila baada ya haka kasekeseke sijamuaona akijitokeza hukumhata kusema neno.
 
Jamani, hivi kuna shule ya taste? Kwamba watu wakisoma na kueleimika wawe na taste moja? Hapa siungani na wewe

Hii ni personal property ya mtu. Anajenga anavyotaka yeye iwe kwa mapenzi, utashi, mahitaji na matumizi yake. Huna haki ya kuingilia eti hajaelimika kwa kuwa hajajenga nyumba ya taste yako.

Nani aliyekuambia kwamba taste yako ndiyo taste stadard ya wenye elimu duniani?

Hapa hapana. Mwache mama wa watu. Penye kosa tunasema, penye kusifu tunasifu, penye kunyamaza ambapo hapahitaji comments tunamyamaza. Afterall, nani hataki spacious house?

Nyumba kama kanisa. Hawa watu wanasoma ila hawaelimiki
 
Acha utoto, One can not say for sure if it were you given that money you will reject the same! Hayo ni maneno kwa vile huna nafasi ya kufanya hivyo/kupata. SWALI (IN KISWAHILI): UKIPATA NAFASI YA KUPEWA FEDHA HIZO NA RUGEMALILA (OR ANY ONE ELSE) UTAZIACHA NA UMASIKINI ULIO NAO? JUST THINK OF IT?

Bado umeshindwa ku~disqualify mantiki ya hoja yangu ya msingi..
Narudia tena, mama kashindwa kutumia akili zake nyingi kutatua matatizo ya wananchi masikini,bali katumia akili zake nyingi kuwakwapulia pesa zao..hivyo akili zimekua~ useless"
 
Back
Top Bottom