Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,266
Huyu shost nilisoma nae form three na four yeye alikuwa kule ambako phyisics na chemistry ni msamiati. Shost wa ushuani lakini huko mkoani. Amekuja mjini kuchukua passport na visa anataka kupanda pipa. Amenitafuta kwnye WhatsApp anaiomba akae kwangu kwani hata mji w nyewe haujui.
Shost anashangaa maisha ya huku kwetu, mpangaji mwenzangu anasafisha koo wakati anaoga shost ananiambia cinaamtia kichefu chef. Kama hiyo haitoshi nimemtuma mtoto akanunue vitafunio shost anashangaa eti kwanini tusinunue mkate supermarket. Haya ndiyo maisha yetu nyinyi wa ushuani.