Maisha ya kila mtu ni kielelezo kwa watu wengine.

Bra-joe

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,562
986
Kila mtu ni kielelezo kwa watu wengine. Kama wewe ni maskini ni kielelezo kwa wengine kwamba umaskini mbaya, na ukiwa tajiri ni kielelezo cha uzuri wa utajiri, kama mzee anachapika ni kielelezo kwa vijana kurekebisha maisha wangali vijana, msanii anapokufa maskini ni kielelezo kwa wasanii wengine kutumia fedha zao vizuri, mjinga anapokuwa hajui kusoma ni kielelezo kwamba shule ni nzuri. Duh! Wakuu list ni ndefu sana naomba mnisaidie kuiendeleza.
 
Kila mtu ana kusudio lake maishani, hasa kwa wanaoamini watanisaidia.

Umekuja duniani kwa kusudi fulani na wengine watajifunza kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom