Maisha ya kijijini

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Haya wadau wa chitchat.

Tukumbushane, tuhabarishane ,tuhadithiane raha na karaha za maisha ya vijijini tulizo wai kukutana nazo.Sio muhimu kutaja majina ya vijiji

NB
Kwa wale tu wenye Experince please. Kama hujaonja raha na karaha ya kwenda na kushi kijijini japo kwa mwezi wakati unasoma au mpaka sasa basi tulia soma story za wenzako.

Kwa wasukuma moja ya raha na karaha(Whichever way you see it ) ya maisha ya kijini ni "daladala". Niiltembelea sengerema "daladala" za kule ni baiskeli. yaani ukifika kituo basi linaposimama inabbidi ukodi baisikeli amabyo ni safari kama ya saa moja au mawili ..... sit imewekewa sofa kubwa kulinda makalio ya abiria

tuendelee
 
Sikubahatika kuwepo katika life ya utoto.
Bt nilibahatika kuishi sana katika vijiji vinavyochimba dhahabu nikiwa nishavuka umri wa miaka 25 na kuendelea.
Kwazo nilikumbukalo ilikua ukiishiwa colget au futa la kujipaka ni hadi usubiri siku ya gulio!
Na mafuta yenyewe ya mgando nakumbuka kuna baadhi yakiitwa Yolanda na mengine Yu.
 
Gambachovu said:
Giza totorooooo....
Mnapuliza moto na kuchoma mahindi na mnajikunyata.....
hii nakumbuka likizo .Bibi hatai tuchumemahindi kila siku wajukuu ndo hatusiki kila tuirudijion ituna mahinidi ...lol

Mi nakumbuka zaidi umande wakati wa kwenda shule asubuhi,halafu pekupeku na 'eiboe'.

Huko kwenu BK nilifurahia
  • "amalisa". zile rotation za kila familia kuwa na zamu za kulisha ng'ombe wa kijiji. Nilienda na family friend kanyigo na bahati mbaya xmas ikawa zamu yao. Mnashinda Porini huko unajifunza hadi kuongea na Ng'ombe
  • Basi linakwenda kile kijiji ilikuwa moja. dereva akigoma usipande gari lake hufiki mjini. Kuna siti za waraingira. Hata asiposafiri siti haikaliwi na mtu. lol nyie kina Bishanga bana

nilikumisijeee.....hebu niambie ulikuwa wapi.....?
Mhhh Wewe P weweeee shauri yako. Unaijua ngata asilia ya kuweka kichwani kuweka ndoo ya maji kutoka mtonia au kisiman ukiwa kijijini.

BTN
Kama ni mimi ulikuwa unaniuliza nilikuwa wapi basi nipo kule kwenye ubuntu .Nasubiri tution yako toka mwaka jana.
 
Last edited by a moderator:
Mhhh Wewe P weweeee shauri yako. Unaijua ngata asilia ya kuweka kichwani kuweka ndoo ya maji kutoka mtonia au kisiman ukiwa kijijini.

BTN
Kama ni mimi ulikuwa unaniuliza niliuwa wapi basi nipo kule kwenye ubuntu .Nasubiri tution yako toka mwaka jana.

we mi nimepata version mpya ya ubuntu....nikibonyee inaongea yenyewe.....nimekutafuta nikupe hujaonekana.....

Mtazamaji me like your post,nakaa uswazi mpaka leo..ndo maisha yetu hayo:smile-big:
Nasoma tu Coment
 
Last edited by a moderator:
Mtazamaji

Hilo onyo kwa waliokuwa hawajawahi kuishi kijijini ...Mmmmh
 
Mtazamaji me like your post,nakaa uswazi mpaka leo..ndo maisha yetu hayo:smile-big:
Nasoma tu Coment

hahaha FirstLady1wewe lady wa kwanza na uswazi wapi na wapi bana.Basi tutaanzisha nyingine ya uswazi. mpaka leo Unategea jirani mpangaji awashe jiko utumie mkaa wake waaaaw teh teh .Uswazi nayoishi mie ni maisha ya kutegeana . si kwena bafuni kwa si kufanya nini . Kilak itu ni wa foleni . Sijui wewe uswaziy ako ya "magogoni".

[MENTION=Gaijin]Mtazamaji

Hilo onyo kwa waliokuwa hawajawahi kuishi kijijini ...Mmmmh

Gaijin he he he
Unajua wengine anaweza kuwa kasoma hadithi ya kufikirika au kusikia ya juma na Rosa akageuza kuwa uhalisia aliohuishi/aioshuhudia

Tupe yako basi

Chakula fresh maji fresh amani tele ila muwe na feza.
Mamndenyi na Sauti za kila aina ya ndege alfajiri
 
Last edited by a moderator:
Gaijin he he he
Unajua wengine anaweza kuwa kasoma hadithi ya kufikirika au kusikia ya juma na Rosa akageuza kuwa uhalisia aliohuishi/aioshuhudia

Tupe yako basi
Mtazamaji

Onyo lako linanihusu :tape:
 
Last edited by a moderator:
mh,me nakumbuka meng sana kijijin. kusenya kuni,kuchota maji mton,kupuliza moto. bas kulikuwa na chuma flan hv km bomba tulikuwa twalitumia kupulizia moto linaitwa "fududu" wenyej wa kule kwetu watakuwa wanalipata. afu na kuogelea mtoni. dah nkikumbuka huwa nacheka sana!
 
Halafu masharobaro wa vijijini enzi hizo,ndo dah.. Hata hawaeleweki!
Masista du nao,wanajisiriba mafuta hao hadi balaa.. Kusugua miguu kwa jiwe...
 
Back
Top Bottom