Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Haya wadau wa chitchat.
Tukumbushane, tuhabarishane ,tuhadithiane raha na karaha za maisha ya vijijini tulizo wai kukutana nazo.Sio muhimu kutaja majina ya vijiji
NB
Kwa wale tu wenye Experince please. Kama hujaonja raha na karaha ya kwenda na kushi kijijini japo kwa mwezi wakati unasoma au mpaka sasa basi tulia soma story za wenzako.
Kwa wasukuma moja ya raha na karaha(Whichever way you see it ) ya maisha ya kijini ni "daladala". Niiltembelea sengerema "daladala" za kule ni baiskeli. yaani ukifika kituo basi linaposimama inabbidi ukodi baisikeli amabyo ni safari kama ya saa moja au mawili ..... sit imewekewa sofa kubwa kulinda makalio ya abiria
tuendelee