Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Mkuu huenda hako `` kaushamba``` ndo kana mafanya awe na hela
Ukimuuliza huyo mtu kwamba ushamba wa Masanja nini utasikia anaseme "kujionyesha".. Tabia za maskini na kilofa za kutaka kuwapangia wengine waishi vipi. Utasikia fulani haringi kabisa au fulani ndo tajiri mwenye roho nzuri zote ni mindset za umaskini wa akili. Tabia ya maskini wa akili siku zote ni kutaka uwafurahishe waoo. Maskini wa akili wanataka ukiwa tajiri waweze kuku control
 
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Umenifanya nijitadhimini na Mimi kwa michepuko yangu kwa mwezi napoteza hela mingi mno lkn sijawahi kiwaza kuhusu
Kule kijijini
 
Pesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Mbona Mr BEAN ana MKWANJA (pesa) toka Kitambo nae bado ni MSHAMBA....

Namsaapoti Masanja na harakati zake nahisi anajifunza zaidi kupitia MATEMBEZI....

Kadiri anavyo safiri...ndio jinsi anavyo ondoa KAUSHAMBA na Kuwini MAUJANJA....

BIGUP Masanja..
 
Sio msukuma huyo mkuu ni mnyakyusa
Siyo mnyakyusa ni mbena mpangwa, origin yake ni Ludewa. Huko Ubaruku ameishi tu na ndiko anakolimia mpunga. Pia kisukuma na taratibu za wasukuma amezipatia huko Ubaruku Rujewa maana kuna wasukuma huko na pia amewahi kuishi Shinyanga.
 
Siyo mnyakyusa ni mbena mpangwa, origin yake ni Ludewa. Huko Ubaruku ameishi tu na ndiko anakolimia mpunga. Pia kisukuma na taratibu za wasukuma amezipatia huko Ubaruku Rujewa maana kuna wasukuma huko na pia amewahi kuishi Shinyanga.
Asante kwa ufafanuz mkuu maana mm watu wa mbeya wote nawaitaga wantakyusa
 
Back
Top Bottom