Elections 2010 Maisha ya Dr. Slaa ndani ya TBC1

Selous

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
1,325
144
Anahojiwa Baba yake. Anaishi kwenye nyumba ya tope licha ya mwanawe kuwa bunge for 25 years,

Anaepnda sana kujisomea.

Anaongea kiswahili cha shida but ina mashaka na slaa kugombea hasa kutukanana
 
Sio ajabu ninaposikia kwamba baba yake hana hekalu. ndio sababu mwanae anahitaji vifaa vya ujenzi vishuke tuweze kujenga wote.
 
Sahihisho kidogo:
Dr. Slaa ni mbunge kwa miaka 15 na wala sio 25.
Anahojiwa Baba yake. Anaishi kwenye nyumba ya tope licha ya mwanawe kuwa bunge for 25 years,

Anaepnda sana kujisomea.

Anaongea kiswahili cha shida but ina mashaka na slaa kugombea hasa kutukanana
 
Nimemwona kwenye TBC1 lakini nimechelewa, nimekuta kipindi kinakaribia kuisha.

Dr Slaa anaonekana ni Mnyenyekevu sana, asiyependa makuu.
 
Wawahoji na wale wachovu wanaoishi kwenye yale mahekalu ya his highness ya Chalinze yaliyojengwa kwa miaka miwili
 
Baba yake anaishi maisha ya kawaidi kama wtz wengine waliopigika,maisha magumu hayachagui wewe ni ccm au cuf au chadema, aisee ccma mungu awalani
 
Ni mtanzania kama watanzania wengine..Hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania. Kuishi kwake kwenye nyumba ya udongo nani wa kulaumiwa kama si serikali. Angeishi kwenye nyumba mfano wa hekalu ccm wasingekosa cha kusema 'Dr. Slaa alikuwa mwizi.' Dr. Slaa kaza buti sisi tunakuombea kila la heri waache wenye kuchokonoa mambo hata yasiyo wahusu. TBC mkahoji wazazi wa JK,Lipumba na wengineo mbona Dr. Slaa peke yake kama si uhuni ni nini?
 
Katika misingi ya vituo vya habari vingi na kikiwepo tbc ni kwamba hawafuati maadili ya kazi na katiba,kwa sababu chombo cha habari hakipaswi kuonesha ushabiki wa waziwazi kwa chama fulani cha kisiasa,kimisingi ya katiba TBC wamekosea na hawapaswi kushadadia chama wala kupiga kampeni za waziwazi kwa chama fulani...
 
Very ordinary; yaani Slaa hana element hata ndogo ya ufisadi; baba yake anaishi maisha ya chini kabisa na yuko karibu na mtoto wake
 
Ni mtanzania kama watanzania wengine..Hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania. Kuishi kwake kwenye nyumba ya udongo nani wa kulaumiwa kama si serikali. Angeishi kwenye nyumba mfano wa hekalu ccm wasingekosa cha kusema 'Dr. Slaa alikuwa mwizi.' Dr. Slaa kaza buti sisi tunakuombea kila la heri waache wenye kuchokonoa mambo hata yasiyo wahusu. TBC mkahoji wazazi wa JK,Lipumba na wengineo mbona Dr. Slaa peke yake kama si uhuni ni nini?

Pakawa shaka ondoa mwaka huu wataelewa tu watake wasitaki kuwa watanzania siyo wajinga kama wanavyofikiria, october 31 ni kesho tu cha moto watakiona na ufisadi wao.
 
Eee! Mungu wa kweli wewe uwawekao wafalme wa dunia nakuomba usikie kilio cha wa tz waliao usiku na mchana, kama ulivyo wapa mfalme Daudi watumishi wako baada yakumkataa, Sauli tunakuomba umsaidie mwanao Dr. Slaa mtumishi wako anaetoa wakati na nafsi yake hata kufa kwa taifa lake Tanzania kuwaokoa wanyonge mil.45 ambao wamekuwa wakilia baada ya nchi kutekwa na kikundi kidogo sn ambacho kimeweka pembeni maadili mema yaliyowekwa na mtumishi wako Mwalimu na Dr. Nyerere, kumbuka hakuna wakusikiliza kio chetu ila wewe Mungu wa kweli, tunajua wazi wanauwezo wakila kitu kama vile majeshi yasiyoonekana kwa macho lkn wewe unanguvu zaidi ya hayo, hatutaogopa bali tutakutegemea siku zote, mjalie afya na maono kwa ajli ya watu wako.
Tusome 2nyakati 20.1-26 hatuna sababu yakupigana tunae Mungu anaesikiliza kilio cha watu wake.
Mungu ibariki TZ, mungu Mbariki mtumishi wako Dr. Slaa
 
Thank you for the quot of the day! Let us keep praying for him and for the change we are waiting for in our lovely country Tanzania!
 
hahaaaa JK kazi unayo mdogo wangu mwaka huu watu hawatazami kuchekacheka........
 
TBC walitaka kuonyesha kwamba Slaa ameshindwa hata kumjengea nyumba baba yake jee ataweza kuwahudumia watanzania? Plan yao ime-BACKFIRE na badala yake watanzania tunamuona ni mtanzania mwenzetu kwa maana halisi maana shida zake ni zetu. Nyumba ya udongo ya wazazi wake ndio nyumba za udongo za wazazi wetu!!!! TBC punguzeni kutumiwa.
 
Mi naona tofauti. Unawezaje kuwa Mbunge kwa miaka miwili ushindwe kumjengea baba yako a decent house?? Weye mbona usikae kwenye maisha duni? Haiwezekani, kuna tatizo. Naomba wana Jamii Forum msiegemee upande mmoja. Sio kila mtu anamwona Dr Slaa kama next president!!Msinisulubishe. Me mwenzenu, jamani, mkongwe. Angaliaeni msije pata pressure ya ghafla.
 
Kumuonyesha baba yake Slaa kwamba anaishi nyumba ya udongo walimaanisha kwamba Slaa ni mjinga hajui kutumia "opportunity" kuiba mamilioni ya kupata utajiri usio na jasho. Kwao siasa ni utajiri!
 
Kaza Buti doctor Slaa mtoto wenu Zitoo CCM wamemjengea vijumba na kumnunulia gari la bei mbaya kesha kuwa mwehu kabisaaa. Hata clouds power breakfast (nawapenda vijana hawa) wameshangaa leo kusifu maendeleo ambayo hayapo.

Hana pa kuongelea yule kijana mdogo maana watamuuliza vitu hivi umevipata wapi? atakuwa hana cha kujibu na akikaa kimyaa Rostam atamwambia kuwa alimpa harafu itakuwa soo0. Ndo maana anatembea kama nyani lililofukuzwa na mama yake. Mtoto wa ajabu unasifu CCM harafu unakiombea chama chako kura wewe unasomeka kweli?
 
Back
Top Bottom