Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

Ukiacha mkoa wa Arusha, mtu yeyote akija Dodoma ataona kila kitu ghali. Hapa tunawaondoa wale ndugu zetu wa Masaki na maikocheni. 😀

Alihamia rafiki yangu kutoka iringa kila kitu anashangaa, anashangaa kwenda sokoni na laki kununua mahitaji ya wiki kadhaa kwa mtu mwenye familia ndogo, anasema Iringa ningeenda na elfu 30 ningepata mazagazaga yote ya wiki kadhaa.

Iringa imekaa pazuri, ukienda kusini wanalima, ukienda moro wanalima na bado tu yenyewe na wilaya zake kuna kilimo. Ukija dodoma pakame inabidi waagize sana sana japo kuna wilaya zinalima, labda cha kufaidi ni nyama ya mbuzi, the rest ni ghali
 
Wakuu hbr za jioni??,Wiki hii Nilikuwa DODOMA kwa shughuli za Kiofisi,nimependa jinsi jiji la Dodoma linavyokua kwa kasi,Lakini hali ya maisha inaonekana ni ngumu Sana kuliko Dar es salaam.

Nilitafuta guest house,bodabo whyda akaniambia kuwa vyumba vya bei ya chini ni 20,000/=,nikashangaa Sana kwasababu niliwahi kwenda DSM na nikafanikiwa kupata gesti ya 10,000/=, nzuri tu.Chakula kwa Dodoma ndo usiseme,kipimo changu cha kwanza ni kwa Mama ntilie, maana watu wengi wa hali ya chini huenda huko kununua chakula;

Aise kina bei hatari , Kuna sehemu niliambiwa wali nyama 3,000/=,Ugali nyama 3000/=,Wali samaki 3500/=, Ugari Maharage 2000/= na wali Maharage 2500/=, Sehemu nyingi za Mama Ntilie bei ni hizo.Nilipolala ni karibu na Holly Cross Center inayomilikiwa b

Na Kanisa Katoliki Jimbo kuu la DODOMA,Aise hapo kitimoto ya kukaanga kilo ni 10,000/=,Ya kubanikwa ni 12,000/=,Ndizi moja 500/=. Ugari kuku robo 6000/=.Na vyakula vingine bei zipo juu pia.Haya nikasema Niulize Vipi kuhusu nyumba za kupanga?;Kheee!!!,Bei nilizotajiwa nilishangaa Sana.Twende Bodaboda aisee Hivi kweli kutoka Holly Cross Center hadi Mkonze mtu anaanza na 6000/=baada ya kuvutana Sana ndo anaishia kwenye 4000/=.

Sijauliza viwanja.Nastaajabu kwasababu miaka ya Nyuma DODOMA haikuwa ghali kiasi hicho.Nilijiuliza swali moja kuwa DODOMA ni wafugaji wazuri wa mifugo sasa Kwanini bei ya Nyama ya ng'ombe ipo juu hivi?? Mnazidiwa na Morogoro ambao hawafugi km ninyi kweli??!!!.

Serikali ichunguze Hali hii, kwasababu inachangia kwa kiasi kikubwa sana Watumishi wa wizara waliokuwa wamehamishiwa DODOMA kutoka Dar kutamani kurudi Dar kuliko kuishi DODOMA.Tafadhari Serikali inusuru Hali hii.
inategemea sehemu maana hata wali wa buku Dodoma upo kama njia panda chidachi, kisasa.. mama ntilie fresh. tatizo gharama za kupanga ndo kubwa tena ukiwa unakaa siku mbili tatu lazma ukione cha moto. sambamba na hilo usafiri ni aghali
 
Kama bei hizi bado ni kubwa kwako basi achana na Mambo ya kuja mjini. Huu ni ushauri wa bure kabisa.
 
inategemea sehemu maana hata wali wa buku Dodoma upo kama njia panda chidachi, kisasa.. mama ntilie fresh. tatizo gharama za kupanga ndo kubwa tena ukiwa unakaa siku mbili tatu lazma ukione cha moto. sambamba na hilo usafiri ni aghali
Mama Ntilie niliowafatilia bei zao za vyakula ni yale maeneo ya Hazina Barabara ya kwenda Udom,Stendi ya mabasi ya kwenda vijijini,na Pale karibu Central police DODOMA ,pia karibu na Holly Cross Center.Hao bei zao ni kuanzia 3000/=,Kasoro chai ndo sikuuliza,lkn Supu nayo ni kuanzia 2000.Lkn vinyango wanaweka vidogo utadhani DODOMA sio wafugaji.
 
Mahali popote usipokuwa na nyumba utaiona dunia chungu hebu fikiri kwenye mshahara utoe laki 3 lazima kwingine ujibane. Mimi nikienda Dom leo nitaenjoy nyumba IPO na bajaji za kushare ni 500 hivyo nikiwa na buku Naenda na kurudi mjini.
Mambo mengine je?,Hasa misosi ya ghali.
 
Back
Top Bottom