Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

Watu mnaisimanga Dodoma kama nn sijui now nadhani wote mlotoa mapovu kuhusu Dom town mnaitamani sana na bado tutaendelea kuwanyoosha tu its just matter of time
 
Ule mji ni jangwa sana hata haupendezi,Singida pangevutia.

Dom vitu ni ghali toka zamani, hasa vyakula masokoni nadhani ukame unachangia. Lodge na hotel za maana bado siyo nyingi kwa hiyo monopoly inachangia bei kuwa juu kiasi.
Kwani umeambiwa kuna mashamba ya kulima hapo? Fedha hubadilisha jangwa kuwa greenish. Singida hata Rais angepauka kwa upepo. Nyie zlisheni TU umeme wa upepo kwa ajili ya viwanda vya Mafuta ya alizeti
 
Back
Top Bottom