Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,454
25,375
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia
 
Chuo gani
ARU ,kule baadhi ya masomo hayana mtihani

Course work70% halafu mwisho wa semester kunakuwa na presentation mbele ya wakufunzi wanakuuliza maswali kadri unavyopatia ndivyo unapewa marks ambazo kwa ujumla zina contribute 30%
 
Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia
Muongo weeeee coursework 82?
 
Chuo gani hicho finals zimebakiwa na 30%??? Coursework 70%?? Ebu elewesha!
 
Back
Top Bottom