muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 728
- 600
Salama wakuu.
Najarbu ku flash back yale mambo ya secondary haswa O'level kwa shule za bweni. Binafsi nakumbuka mambo mengi ila Haya makubwa Mawili nakumbuk zaidi.
1: Ilikua asubuhi sana nikiwa Nina kama siku tatu tangu nimeingia bweni form one pale Puguboy. Nikaamka zangu asubuhi na mapema kujiaandaa, gafla kaja bro mmoja mrefu mweusi, akiw na fagio la kudekia mbele lina kama nyavunyavu akanambia dogo “Niwekee dawa ya mswaki kweny mswaki wangu.” Huku akininyanyulia lile dekio na kuongeza unashangaa nini huu ndio mswaki wa form 4 shika weka dawa naend nje nikirud nikute tayari, dah nikaogopa sana punde si punde kaja jamaa mmoja akanambia anakutish tuu usiogope basi nikakausha na jamaa wala hakurud tena.
2: Jamaa mmoja alieitwa kasuku, tukiwa form three alikuja ameshona surual kubwa na pana sana yan sio yakawaid kabisa then ndefu adi anakunja, mwalimu akamwita assembly’s akazngua sana kisha akamwambia nakupa siku moja uend ukashone au urekebishe hii suruali, jamaa akaondok zake aliporud kesho alikuja na surual ndogo zaid yan imembana sana na amekata karbu na magoti kabisa kama zile wanavaa wale waislam wa sunni. Basi mwalimu ilibidi ampige jamaa sunsper mwezi.
Share na ww ya kwako.