Maisha ya bweni, shule za serikali; unakumbuka nini?

muhala.jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
693
1,000
Salama wakuu.

Najarbu ku flash back yale mambo ya secondary haswa O'level kwa shule za bweni. Binafsi nakumbuka mambo mengi ila Haya makubwa Mawili nakumbuk zaidi.

1: Ilikua asubuhi sana nikiwa Nina kama siku tatu tangu nimeingia bweni form one pale Puguboy. Nikaamka zangu asubuhi na mapema kujiaandaa, gafla kaja bro mmoja mrefu mweusi, akiw na fagio la kudekia mbele lina kama nyavunyavu akanambia dogo “Niwekee dawa ya mswaki kweny mswaki wangu.” Huku akininyanyulia lile dekio na kuongeza unashangaa nini huu ndio mswaki wa form 4 shika weka dawa naend nje nikirud nikute tayari, dah nikaogopa sana punde si punde kaja jamaa mmoja akanambia anakutish tuu usiogope basi nikakausha na jamaa wala hakurud tena.

2: Jamaa mmoja alieitwa kasuku, tukiwa form three alikuja ameshona surual kubwa na pana sana yan sio yakawaid kabisa then ndefu adi anakunja, mwalimu akamwita assembly’s akazngua sana kisha akamwambia nakupa siku moja uend ukashone au urekebishe hii suruali, jamaa akaondok zake aliporud kesho alikuja na surual ndogo zaid yan imembana sana na amekata karbu na magoti kabisa kama zile wanavaa wale waislam wa sunni. Basi mwalimu ilibidi ampige jamaa sunsper mwezi.

Share na ww ya kwako.
 

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
293
500
Nakumbuka
1. Kuchajia simu kwenye Dari la bweni la serengeti (meatu secondary).
2. Kuficha ubwabwa kwenye tranka.
3. Kujisaidia kwenye vyoo vya staff
4. Kuisaidia kwenye vichaka pembeni ya skuli
5. Kusomea kitendani
6. Kuiba mashuka ya wengine mapya na kujifunika nayo.
7. Kumwaga maji kwenye vitanda vya ma snitch usiku
8. Dah ni mengi sana
 

chivala

Member
Apr 13, 2021
76
125
Nakumbuka jamaa kawahi kitanda cha juu mimi cha chini, kumbe jamaa kikojozi siku ya kwanza kakojoa kitandani mkojo wake ukadondokea kitandani kwangi mimi nikadhani ni maji asubuhi nilivobaini kuwa kakojoa, ilibidi nimshauri kwavile yeye kikojozi, ashuke chini mimi niende juu jamaa hakukubali, siku nyingine tena kaja kukojoa ilibidi nimripoti, unajua tena shule za wajeshi, jamaa kashushiwa kipigo na akalazimishwa alalie kitanda cha chini mimi ni lale juu.
 

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
1,845
2,000
Kukumbushana na kupiga stori za kipindi cha shule ni utoto na kutokukua.
 

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,342
2,000
Kuchora mstari kwa chaki .....alafu mnashndana kupiga punyeto
. atakae toa bao zito kuvuka mstar anapewa pesa
 

Amadoli

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
2,544
2,000
Nakumbuka tulicheza mechi na shule moja ya mchanganyiko tukawafunga na madawati yao tukayabeba kupeleka shuleni kwetu kulikuwa na uhaba wa madawati
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom