marrykate
JF-Expert Member
- Mar 4, 2012
- 733
- 442
Wewe ni mbwa na nyie ndo watemi wenyewe full vijicho na roho mbaya shenzi kabisa
Huwezi kuzungumza kwa uhakika kuhalalisha kuwa watu walistahili kuchomewa nyumba na kukatiwa mazao yao na wengine kuuwawa kwa vitu vya kusadikika
Yaani umenikera mpaka mwisho na yawezekana hujui unachokizungumza
Hizi ishu zipo na ni aibu isiyosemwa wazee wa kujipamba mambo safi ilhali mioyo imeoza
Wasukuma waliofanyiwa hayo huko misenyi nao waliua kichawi?
Kuna familia zimepoteza makwao kwa husda za kishenzi kama hizi
Aliyefanikiwa uhayani ni mchawi halafu uko hapa unabwata eti huchomewi kirahisi lazima kuna namna,, nakuita mbwa tena na tena
Kama umeisho mijini huna haki yoyote ya kushutumu wahanga wa matukio haya sababu mijini tunajua huduma za kipolisi zipo karibu lakini huko bush watu wamefilisiwa kwa wivu na upumbavu huu,
utakuwa mchawi kweli kwa lugha hizi. halali kuchomewa nyumba. mbona wengiwe hawachomewi