Maisha: Wiki moja baada ya vyeti feki

Tenths

Senior Member
Mar 2, 2010
111
45
Dunia imetuangukia, mipango, mikakati na taratibu zote za maisha zimecollapse. Watoto wanashangaa furaha ndani haipo tena, baadhi ya watu wanafurahia kuwa sasa ataishi kama shetani. Kuzoea maisha bado muda ni mfupi sana. Mungu tia moyo wa ujasiri kwa watu hawa kwani hawana Kimbilio jingine bali wewe.
 
Dunia imetuangukia, mipango, mikakati na taratibu zote za maisha zimecollapse. watoto wanashangaa furaha ndani haipo tena, baadhi ya watu wanafurahia kuwa sasa ataishi kama shetani. Kuzoea maisha bado mudà ni mfupi sana. Mungu tia moyo wa ujasiri kwa watu hawa kwani hawana Kimbilio jingine bali wewe.
Mungu awe pamoja katika kuwatia moyo katka kipindi hiki kigumu!
 
Dunia imetuangukia, mipango, mikakati na taratibu zote za maisha zimecollapse. watoto wanashangaa furaha ndani haipo tena, baadhi ya watu wanafurahia kuwa sasa ataishi kama shetani. Kuzoea maisha bado mudà ni mfupi sana. Mungu tia moyo wa ujasiri kwa watu hawa kwani hawana Kimbilio jingine bali wewe.
Kwakweli ni simanzi isiyo mfano
"Ewe Mwenyezi Mungu uliye faraja ya kweli kwa watu wako wape tulizo la nafsi na faraja ya pekee familia hizi zinazopitia mapito haya "
 
Kuna maisha mengine baada ya kuisha maisha yasiyo yakwao.....sasa wanakwenda kuishi maisha yao asilia
 
Kama nyumba ni yakupanga na unafamilia kubwa, kodi ikiisha utaishi kama mkuu wa mashetani.
 
Dunia imetuangukia, mipango, mikakati na taratibu zote za maisha zimecollapse. watoto wanashangaa furaha ndani haipo tena, baadhi ya watu wanafurahia kuwa sasa ataishi kama shetani. Kuzoea maisha bado mudà ni mfupi sana. Mungu tia moyo wa ujasiri kwa watu hawa kwani hawana Kimbilio jingine bali wewe.
Nimeambiwa na rafiki yangu mmoja,kuna jamaa,yeye ,mke wake,na dada yake wamekumbwa na hili balaa. Jamaa alianza yeye kuchonga cheti na akaajiriwa. Akachonga cha mke na dada yake kwa kutumia uzoefu uleule. Ni noma sana!
 
hawa ni sawa na wanao dhurumu mali za watoto wa marehemu, wala haina haja ya kuwaonea huruma. wanavuna kile walichopanda maana hawakupata kazi kwa halali

Ila inauma sana majuzi nilimwona mmoja anapigana apate kazi ya ukarani wa msimu tumbaku, sijui kama alipata mbaba yule.
 
Back
Top Bottom