Maisha uwanja mpana, ifikie hatua kila mtu aishi kwenye njia yake ambayo yeye anaona sahihi

uko sahihi, ila jua tu hakuna mtu anaishigi milele

Unaonenekana unatabia za kibabe babe sana kama binadamu wa chato
Hapana mkuu sio ubabe mtoto alieshindikana Ana kera sanaa if you can eliminate him mapema kwa amani ya familia na ukoo
 
Mkuu Kama wewe ulivyo na Haki ya kukereka. Watu pia wanahaki ya kuzungumzia kile wanachotaka...

Kireka in peace
 
Hamna kitu kibaya kama kua na "rebellious child" mtoto alie shindikana kama huyu mwenye mawazo kama hayo, kama unaweza just shoot him dead, wanaleta mikosi kwenye familia
Watu wanaokataa mazuri waambiwayo kwa madai wanahaki yakuishi watakavyo..hivi utamuona ndugu yako unavuta unga...au MWANAO..umuache kwakua haikupi shida..?

Tabia nyingi zinazipigiwa kelele Ni zile amabazo Zina matokeo hasi katika jamii

Sasa Kama unakomalia USIKERWE Uchwe uishi Kama punda asie na utashi hili Ni Tatizo..
Hatari
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mkuu kwanini wewe unategemea watu kwa lipi?
Mkuuu...huwezi ishi mwenyewe katika hi Dunia...Kama kazi kunamtu anakulipa Mshahara Kama kujiajiri kunawatu una associate nao ..Huna familia ulizaliwa wapi?

Huna hata mtu wakukwambia Aisee hoi njia upitayo si sahihi..Huna hata wakukuhudumia ukipata malarai?

Huna wakukwambia pole na kazi...

Pesa Sio kila kitu...Kuwa na pesa hakukufanyi Wewe uishi maisha yako eti hutegemei Watu au kitu....
PESA ZINAWAPA KIBURI Sana mnazani Mnaweza ishi mtakavyo ..

This isn't right
 
Kuna tofauuti kati ya kutegemeana na kushirikiana. Ukiwa tegemezi huwezi kaa mbali na unayemtegemea lakini ukishirikiana unaweza kubadili mshirika.

Kwenye huu ulimwengu pesa ndio kila kitu!
 
Mtu akiandika zake madini kisha akaja kuweka sijui 'koo' badala ya neno 'kwahiyo', huwa ananitoka jamani..!
Najua hainihusu.!!

😂😂 WTF! Nimepata shida kuelewa sana alimaanisha nini hapo kwenye "koo" kumbe ndio "kwahiyo"?? Aisee!
 
Kuna tofauuti kati ya kutegemeana na kushirikiana. Ukiwa tegemezi huwezi kaa mbali na unayemtegemea lakini ukishirikiana unaweza kubadili mshirika.

Kwenye huu ulimwengu pesa ndio kila kitu!
Unafanya kazi unalipwa vuzuri...sio tegemezi kwa hii kazi na bosi wako...

Unafanya biashara unawateja wako wakubwa...Sio tegemezi kwa Hawa wateja.

Inaweza ukaamua tu kulala na mke wa mteja wako kwakua TU unaishi maisha yako.utakavyo..

Hatuwazi ishi maisha yetu tutakavyo....bado tutategemeana TU...
ILA SIKULAZIMISHI...wewe Kama unaishi maisha yako bila kujali wazazi Wala ndugu Wala jamii nk... Wanakuonaje ...

Hi Ni tatizo
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ukikosea lazima tukwambie, hata jela utaenda.
Ukitaka usikosolewe kaishi dunia yako
 
Back
Top Bottom