MAISHA: Umewahi fikiria kujiua? Nini kilikuzuia?

Ukichagua kujiua kwa ridhaa yako ni vema na haki, na nikikukuta unajiua nitakusaidia ili uende kwa amani ..."forcing the potential suicidee to stay alive against her/his will is analogue to torture" -Thomas Pogge

AskPhilosophers.org
 
mi sijawah kufikiria kujiondoa ila niliwaze kwa aliyenitenda, na nilitaman nifanye hivyo kwa mikono yangu, daaah ile nilivyoshika kisu sijui alivyo okoka yule mlengwa..

baada ya pale, sintathubutu ujinga km huu, ukinikwaza najiweka mbali nawe.
 
I was raised to believe that suicide is SIN and that's my belief, as a result sijawahi kufikiria.
 
Nilishawahi kufikiria kujiua kisa kunyanyaswa na demu wangu but nilipokumbuka wali maharage tu haaa nikaghairisha kabisa ..dah wali maharage mtamu sana
 
unajua watu wengi huwa tunafikiria pains and suffering are not for us!!. huwa tunakuwa very optimistic, sijui ni kwa nini. tunakuja kujua kwamba kumbe hili hata mimi linaweza kunipata ikiwa kuchelewa tayari. wengi tunajua life is not fair but we don't accept the fact!
siku zote mtu anapotaka kuchukua hatua ya kujiua anakuwa hayupo sawa kiakili kwa wakati huo...just imagine mtu anayeumwa au mahututi amepata ajali the only wish these people will have is to live one day longer and make a difference in their lives....we humanbeings are selfish and we are not so good at appreciating what we have unless we loose it then we realize how important that thing was but ofcourse it will be too late ...live your life like you deserve it,cherish every single moment of it cause some people wish to have half of what you have!I dont have a perfect life but i love my life!
 
Nimewahi once,aliniokoa dada yangu baada ya kuniweka chini na kuanza kunipa facts kuhusu maisha bila huruma wala kunibembeleza. Nilikuwa nalia lakini akawa kama machozi yangu hayaoni,akanipa ukweli then akawaita watoto wangu akaniambia kama umeona hutaki tena kuishi hata kwa ajili ya hawa watoto basi waue wao kwanza halafu wewe ufate maana ukiwaacha hakuna wa kuwalea.
Niliumia,nikamuona katili lakini alinitibu.
 
hata mm nimewahi kufikiria kujiua tena mwezi uliopita baada ya kugombana na demu wangu na kutaka kumchoma kisu,,nilitaka kumuua yeye na mm nijiue,,ila baadae nikapata ushauri wa kisaikolojia na washikaji ndo hali ikatulia,,ila bado nina mpango wa kumfanyia kitu kibaya huyo mwanamke,,
 
aisee dada nimempenda dada ako kweli amekupenda
 
hata mm nimewahi kufikiria kujiua tena mwezi uliopita baada ya kugombana na demu wangku na kutaka kumchoma kisu,,nilitaka kumuua yeye na mm nijiue,,ila baadae nikapata ushauri wa kisaikolojia na washikaji ndo hali ikatulia,,ila bado nina mpango wa kumfanyia kitu kibaya
huyo mwanamke,,[/Q
Duh"!"!!!!!!!"!umeniogopesha kwa kweli
 
hata mm nimewahi kufikiria kujiua tena mwezi uliopita baada ya kugombana na demu wangu na kutaka kumchoma kisu,,nilitaka kumuua yeye na mm nijiue,,ila baadae nikapata ushauri wa kisaikolojia na washikaji ndo hali ikatulia,,ila bado nina mpango wa kumfanyia kitu kibaya huyo mwanamke,,
Wewe bado unahitaji msaada wa kisaikolojia!
 
Mi nilifikiria kumuua ndugu yangu ambae aliniua kimaisha. nilitafuta bastola kwa siku kadhaa bila mafanikio naye aligundua hilo na kukimbilia mkoani. ila kwa sasa namtakia aish maisha marefu ili aje umbuka na neema za Mungu kwangu.
 
Vipi mkuu, unatoka ule ule mkoa wa kina mushi?
hata mm nimewahi kufikiria kujiua tena mwezi uliopita baada ya kugombana na demu wangu na kutaka kumchoma kisu,,nilitaka kumuua yeye na mm nijiue,,ila baadae nikapata ushauri wa kisaikolojia na washikaji ndo hali ikatulia,,ila bado nina mpango wa kumfanyia kitu kibaya huyo mwanamke,,
 
nilishawahi kuiweka kama the second path, if something had to go wrong with the primary, i needed something so badly that i couldn't handle missing it, that was a suicide, thanks to god, i made it, and had it all.
That was more than a year, i lost 1 quarter of my weight.

"Trust me, it only takes a blink of an eye for your whole life to change".
 
Sijawahi kufikiria kujiua na ni kwasababu i have strong belief and suicide is against my belief....I have been through a lot of misery in my life but i believe i am gifted this life for some reasons so i wouldn't give it up in return for anything...ONLY THE ONE WHO GAVE ME THIS LIFE CAN TAKE IT!!...
Even when i am so down,i want something so bad I´LL DO MY BEST,try every safe option available for me so that i wont have regrets later that i could do something better or try harder...And its incredible who much i might be to willing sacrifice just to achieve my goals...That ideology keeps me strong!And i always pray and thank my god for everything even if its pain or misery....Cause GOD knows whats best for me!!!
like like like
 
maisha ya kujiua mimi yalinikumba toka enzi nikiwa shule ya msingi! namshukuru sana Mungu aliniokoa.

nakumbuka nikiwa darasa la sita, nilinusurika kifo hivi hivi sababu ya kujawa na stress ambazo nilisababishiwa na mtu mmoja tu muhimu katika maisha!

dah, kwa kweli niliandaaga kopo la vidonge mchanganyiko, vidonge vikiwa zaidi ya hamsini hivi...!

but at the end, sikuvinywa.... there was a lot behind!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom